Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,708
- 3,255
habari wana jamvi nilikua na shida na asali mbichi ya nyuki wadogo kwa ambaye anaeza nisaidia kuipata anicheki kupitia 0764339400.
niko mwanza
niko mwanza
Dah kaka punguza naumwa mwenzio cna kitu
ya nyuki wadogo anauza 2000????kuna jamaa anauza maeneo ya igoma,chupa ndogo ya konyagi 2000 tu.
Mkuu fanya mpango umpuguzie bei jamaa kasema anaumwaha ha ha ha nyuki wa dogo 2000????//.......... dah kweli shida. kaka asali yangu original kabisaaaa haina manyau nyau au imechanganywa na kitu. nipo Dar nakutumia fasta tu kwenye kisbo