Nipo Mwanza, wapi wanapouza bati za "msauzi" bei poa?

Nipo Mwanza, wapi wanapouza bati za "msauzi" bei poa?

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Wanajamvi ni kawaida ya JF kufundishana na kushauriana mambo mbalimbali.

Leo naomba kwa mwenye kujua sehemu ninapoweza kupata bati za rangi maarifu "msauzi" zenye migongo ya kawaida futi 10 kwa 3.

Ninajenga nyumba vyumba 4 nahitaji bati 90..
 
Back
Top Bottom