Wandugu hapa DSM, nakodisha Noah old model, nzima , hakika kwa safari za ndani ya jiji na nje ya dsm; nakodisha gari hii;
Kwa matumizi ya kutembea na au kubebea bidhaa;
Gharama ni kwa siku
Gharama...
GENERETA MPYA ZA KISASA AINA YA HONDA FA2500 ZINAUZWA. INA NGUVU YA K.V 2.2, INA WASHA FRIJI, TAA ZA AINA ZOTE, TV, PASI NA AC. INATUMIA PETROLI. LITA MOJA KWA MASAA MAWILI.
BEI ni MILLION MOJA...
Haya sasa mwisho wa mwaka huu acha kuteseka wala kuwaza kupandishiwa nauli juu kwenda kwenu kula sikukuu au shughuli zozote zile nakodishwa kwa makubaliano tutayofikia. Karibuni sana. 0784791233.
Nauza simu tajwa, ni mpya. Imetumika siku 2 tu, ina.cover, screen protector na chaji yake. Battery yake inakaa 24 hrs when using internet. Kama unahitaji pls 0755783420. Nipo Dar
Salaam wadau...nauza mercedez benz Kompressor..2003 model.Gari haijatumika sana hapa Tz.Hali yake nzuri sana.Bei 16m mgongoro yanakaribishwa.Kwamawasiliano zaidi namba ni 0689900000
Janamani. Mie nimehamia moro.
Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro.
Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30...