Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Plot IPO mitaa ya Goba stand , njia nzr kabisa ya kufika kwenye uwanja mita 500 kutoka stand Bei 36ml na maongezi yapo...karibu sana kama wewe ni muhitaji ukutane na muuzaji mwenyewe hamna mtu...
1 Reactions
0 Replies
656 Views
Ni simu orijinoooooooo kabisa ipo katika hali nzuri kabisa Picha na taarifa zaidi ni 0717184353 Bei ni 180,000 Inakuvusha mwezi wa sita kwa mwendo kasi bila shaka
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Niko dar es salaam, nahitaji deep freezer kwaajili ya biashara. Liwe kubwa na lenye mlango wa kioo.. 0755815174
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jifunze kusuka vikapu,sabuni ya maji na mche kwa vitendo kwa tsh 15000 kwa wakazi wa mbeya. jifunze nasi ujiajiri.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayejua wapi naweza kupata Dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa Utalii na maendeleo Tanzania,karibuni msome na kushare blog yetu ya Tanzania Tourist Directory www.infotanzania4u.blogspot.com ni sehemu pekee unayoweza pata taarifa sahihi kutoka kwa...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Habarini, Nahitaji gari tajwa hapo juu, iwe katika hali nzuri, na iwe Dsm.. Kwa yeyote aliyenayo ani pm ama,ai post hapa tuweze elewana..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu rafiki zangu wa Jf! Naomba mkae mkao wa kula kwa ajili ya somo muhimu sana juu ya vipodozi visivyo salama. Somo hili ni la bure na litatolewa online kupitia JamiiForums, Facebook...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja Bunju 35m kwa 30m fenced na fram 2 complete kwa tsh 50m sim 0674 338 225
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
tunatoa mafunzo ya usus wa vikapu kwa gharama ya sh.15000 tu. Karibu ujifunze nasi popote ulipo mkoa wa mbeya
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa gharama ya 15000 jifunze kushona vikapu uanze biashara yako
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Viwanja Vipya NHC Kigamboni Mwongozo Dongwe palm. square meter 750 adi 1600. Kilometer 17 toka ferry, nani mita 100 toka NHC housing pia ni mita 200 toka baharini. Bei ni 22,000 kwa sqm...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Salaam wadau...nauza TV aina ya Samsung 51 inches ambayo ina HDMI ports 2 na USB ports 2..Flat panel.Nimenunua kubwa zaidi so nauza hii.Bei 1m.Tv ipo Dar.karibuni na mawasiliano ni 0689900000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamii Mchele safi grade A kutoka mbeya ukihitaji wa kyela upo, wa kamsamba upo bei ni nafuu kabisaaa 1900 kwa kilo. Mawasiliano 0653623408
1 Reactions
11 Replies
4K Views
1.Nahitaji zaidi ya kumi 2.Nipo Dar es Salaam(Riverside) 3.Weka hapa mawasiliano nikucheki. 4.Unaweza kunipigia au Whatsapp 0656608136
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Hii ni site ambayo inampa uwezo mwanachuo kuuza au kununua vitu mbalimbali kama simu, radio, laptop, nguo nk mfan; unataka kuuza laptop yako unaingia kwenye site www.choushopping.com afu unaenda...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
0652262797 nahitaji kutuma manual script (muswada) ya riwaya na tamthilia.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Husika na kichwa icho mwenye umiliki wake anicheki 0654879476
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Viwanja/plots a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/= b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/= c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/= d) Msongola Ilala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…