TV 51 inches Inauzwa Bei Poa

TV 51 inches Inauzwa Bei Poa

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam wadau...nauza TV aina ya Samsung 51 inches ambayo ina HDMI ports 2 na USB ports 2..Flat panel.Nimenunua kubwa zaidi so nauza hii.Bei 1m.Tv ipo Dar.karibuni na mawasiliano ni 0689900000
1464968752331.jpg
1464968762365.jpg
1464968774985.jpg
 
Nakutakia wateja wengi mkuu. Tanzania tuanze kuzoea kwamba kuna wakati mtu unauza ulichonacho ili ku-upgrade, na haina maana always kua kinachouzwa ni 'low-quality', muungeni mkono mdau hapo.
 
Hapana...naitumia mwenyewe haina shida yoyote.Unaweza kuja kuichek
 
Back
Top Bottom