Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Msaada kwa anae fahamu viwanda tajwa vinapatikana wapi ndani ya Dar
0 Reactions
4 Replies
5K Views
SAA MPYA AINA YA SEIKO 5 NAIWEKA SOKONI Ni saa zaidi ya saa, haingii maji, unaweza kuogea kwenye swimming pool au baharini, ni saa inayodumu miaka na miaka, ni saa imara sana. BEI: Tshs. 350,000...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Nauza nexus 6p imetumika kidogo model H1512, 64 gb Bei 1,200,000
0 Reactions
2 Replies
652 Views
Habari wadau, wasiliana nasi kupitia pawahost dot com kwa huduma zifuatazo:- 1. Computer system development 2. Android application development 3. website designing and development kwa Tsh...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Kimara - Mbezi - Ubungo . Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wandugu! Kuna yeyote anajua wapi naweza kukodisha marine board kwa bei nzuri. Na wanakodisha kwa bei gani..? Nataka kama sqm 100 hivi. Pia Mirunda kama ipo pia naomba contact nayo ningependelea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ukubwa ni 20 kwa 20 kwa kila kimoja bei ni mil 10 kwa kila kimoja maongezi yapo kiwanja kipo tambalale vyote vipo sehemu moja...Vinaangaliana na barabara ya mtaa.....Umeme upo hapohapo karibu na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kiwanja kiko maeneo ya airport ilemela Mwanza. Ukubwa 25m*30m. Bei 1.65ml. 0753101293
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Jf , Waweza niita.@ecarstanzania au MAGARI7 New member wa jf. Kwa mnaohitaji magari.mazuri na kwa bei rahisi kabisa yenye ubora wa hali ya juu "Pm" or "e-mail" Me ecarstanzania@gmail.com
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Salama wandugu, ninasambaza trey tupo za mayai katika mikoa y Kilimanjaro na Arusha kwa kuanzia, bei poa sana, kwa anayehitaji ani PM nimletee Mara moja.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
A fully furnished 3bedroom appartment with kitchen living room balcony gym and swimming pool outside plus security is for sell at masaki seaview along Toure drive Oceanview, the appartment is in...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Haya jamani gari hio hapo leo nimeweza kuupload picha bado mpya kama mnavyoona Million 35 tu nicheki 0625979620 au kwa wale wa whatsapp wanichek kwa hii 0719628839 Gari ina plate ya C bado mpya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nauza hii simu yangu. Imetumika kwa wiki tatu tu. Haina tatizo lolote. Haina mchubuko na ina kila kitu chake pia ina glass protector. Ni Iphone 5C, 16gb. Bei: 550,000 Tshs Mawasiliano: 0657...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Natafuta hotel lock ya aina yoyote za kufungua na card
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Natafuta tani 10 za pilipili manga...ninunue....kama unazo nitafute kupitia 0687488730
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi all, an international NGO with offices in Dar inataka kukodisha mini iPads 13 haraka kwa ajili ya data collection (not later than 11th July). Kama unazo piga 0763140247. Rates and all else...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Natafuta kiwanja maeneo ya boko au bunju
0 Reactions
2 Replies
834 Views
eka mbili kila eka milioni mbili.eneo zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.au ufugaji wa samaki maana chanzo cha maji huakika.udongo mfinyanzi hauitaji kujengea bwawa kwa muhitaji ani pm
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Ndugu wote na marafiki na wasio marafiki wenye tatizo la mdomo kutoa harufu mbaya ninawaarifu kuwa sasa nina dawa sahihi huhitaji nikutumishie kwenye basi, kila kitu ntakachokuelekeza unacho hapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
isiwe imechoka sana. body na engine viwe haijaguswa. yaani engine haijawah funguliwa kabisa na body haijapigwa Rangi. Bei ni Tsh Mil 3.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…