Ndugu wana jukwaa heshima kwenu, kwa wakazi wa Dar es salaam tunatoa huduma za maturubai, viti na meza kwenye shughuli mbalimbali, tunapatika kimara Baruti..
0755971223
Wakuu natumai mu wazima wa afya.Nauza tecno boom j8 ina kila kitu chake bado mpya.Ukihitaji na risiti nakupa.Simu ni latest ni 4G LTE,16GB STORAGE,2GB RAM.Nauza kwasababu nina dharura ya...
Banners,Flyers,Brochures,Business, Cards,architectural Model printing À1,Sticker Papers kwa wajasiliamali.
Bei zetu ni nafuu sana.Ubora wa kazi zetu ndio tofauti na wengine.
Chagua Joana Digital...
Tunauza cement ya Twiga 10800 bila transport na usafir itakua 11300,, kwa dar tunapeleka kokotee ulipo na kwa mikoan tunachukua oda,,
Cement ya kisarawe lucky cement kwa bei ya jumla 11000...
Ndo kwanza imetua Zanzibar toka Dubai.
Automatic gear. Ina viwango kama unavyoiona kwenye picha.
IPO ZANZIBAR.
Nahitaji million 9 tu!
Tuwasiliane kwa namba (+255 762 466 293)
Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo.
Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet.
Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa...
Wadau Habarini za mchana,
Pawahost Web Services inapenda kuwatangazia kuwa ,sasa ipo kwenye punguzo kubwa la bei kwa huduma zake mbalimbali kama ilivyooneshwa hapa chini:-
1.Domain kwa punguzo la...
Kwa mtaalamu wa program hizo namuhitaji.
nina intro kidogo ya program hizo na computer kwa ujumla hatapata shida ya kunifundisha.
muda ni kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni
mwanza mjini..
nipigie...
Nauza kiwanja changu milioni 17 KWA MKUPUO/AWAMU 1;MILIONI 19 KWA MALIPO YA AWAMU.Malipo ya awamu napokea tunaandikishana kwa mwanasheria nakupa kopi ya hati,orijino nakupa ukimaliza deni...
The CISA designation is awarded to individuals with an interest in Information Systems auditing, control and security who meet the following requirements:
1. Successful completion of the CISA...