Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa ufungaji viremba (GELE) design tofauti tofauti vya kwenye sherehe, karibuni sana. Pia tunafundisha kufunga Gele na kufanya make up. Kufungwa Gele:25,000 Kufundishwa kufunga Gele kwa siku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jengo lipo Makongo juu CCM, takriban 3 kutokea Mlimani City Jengo ni mpya na nzuri sana na kuna maji ya kutosha masaa 24, umeme ni wa uhakika hata ikitokea umekatika lipo jenereta kubwa la kuweza...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
SOLD
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jengo lipo Makongo juu ccm, takriban 3 kutokea Mlimani city Jengo ni mpya na nzuri Sana na kuna maji ya kutosha masaa 24, umeme ni wa uhakika hata ikitokea umekatika lipo jenereta kubwa la kuweza...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
zipo eka tatu,karibu na mto,maji yanaptkna muda wote,kwa kilimo cha umwagiliaji,ufugaji wa samaki,bei milion na nne na nusu kwa eka zote tatu,maongezi zaidi pm
1 Reactions
1 Replies
744 Views
Naiza hii navara sh mil 19 Nipgie 0688799112.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
#Haya sasa Apple hilo hapo limetulia Iphone#5c Gb 32
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Mifumo midogo pia ya Solar inapatikana kwa gharama nafuu zaidi. Huduma zetu ni kwa mikoa yote. Tufollow Instagram @snlsolarltd @snlsolarltd TuLike Facebook: SNL SOLAR CO. LTD OFISI ZETU ZIPO...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Mifumo midogo pia ya Solar inapatikana kwa gharama nafuu zaidi. Huduma zetu ni kwa mikoa yote. Tufollow Instagram @snlsolarltd @snlsolarltd TuLike Facebook: SNL SOLAR CO. LTD OFISI ZETU ZIPO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iwe na fw na hali nzuri CABRETA AU INJECTION MILLEDGE KIDOGO Mafundi wangu wataikagua mtumiaji awe ametumia matumizi ya kawaida bei mil 4500000 no 0718493001 KARIBUNI TUFANYE BIASHARA YA...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Habari za asubuhi wakuu, Kwa anayefahamu zilipo ofisi za kampuni ya Bunwani enterprises, kampuni ya kuchimba visima naomba msaada. Ipo Dar es Salaam, sijajua ni Dar sehemu gani.
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Habari wa JF naombeni msaada wa maulizo kwa mtu anayemiliki mgahawa kuna vitu nataka kuvijua msaada ....ani PM
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Navitafuta hivi vitabu kwa mwenye navyo wakuu au anayejua naweza vipata wapi. 1. The Forbidden Subject 2. The Partnership By Aboud Jumbe. Natanguliza shukran.
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self, ukubwa wa uwanja 2000sqm na kimepima na kina hati yaani Title did ya miaka 99 bei yake 220ml Kwa maelezo na kuhitaji kuja kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Je wewe ubasumbuliwa na moja ya haya yafuatayo;- # Kisukari. # Shinikizo la damu. # Maumivu ya viongo. # Upungufu za nguvu zakiume. # Upungufu wa kinga mwilini. # Mtoto anasumbua Kula, anakua kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nauza mbegu za maboga kavu,1kg 6000/= Sms 0689095488
1 Reactions
1 Replies
971 Views
Kiwanja kinauzwa kipo kitunda machimbo ukubwa mita 38 kwa 36. Na kina room mbili mwenye kuhitaji piga namba 0713669533. Picha zipo. Wateja mnakaribishwa. Madallali pia.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeep 2010 limited edition. Bei: Million 29 Imported to Tanzania in 2012 Mileage: 22,000km 240km speed Automatic na semi manual 4WD (Maelewano yapo)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niko unguja fuoni nimuda sasa natafuta chumba cha kukodi lakini sipati kwenye kuweza kunisaidia anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…