Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza,
128gb,
Face id bado ipo
Battery health now inasoma 73%
Ina crake kidogo kioo cha nyuma,.
Kama unahitaji hit my dm Asap!
Kama uko Songea pia itapendeza...
TANZANIA ELECTRICAL,ELECTRONICS AND ICT SOLUTION ONLINE
Tunakaribisha watu binafsi katika kupokea mafunzo ya Electrical,Electronics na ICT kwa njia ya mtandao(ONLINE),
Mafunzo yetu yana lengo la...
Wakuu naamini mpo salama,
Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK
DETAILS
Make
Nissan
Model
Teana...
habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na...
Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani.
Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera.
Taa hii inafanya KAZI...
Wadau, naombeni ushauri hukusu ubora wa mbao za huu mti uitwao Mtiki katika kitengeneza milango ikilinganishwa na mninga au mkongo. Kuna mdau ananishawishi kwamba wenyewe ndio the best, ingawa...
.. habari za majukumu wakuu,nahitaji hizi plastic mold kwaajili ya kufyatulia paving,msaada wa mwenye kufahamu zinapopatikana kwa hapa dar na bei zake wakuu,nahitaji sana
Kwa waliopo Dodoma, Dar na maeneo mengine ya Tanzania na toa OFA ya mwenzi mmoja ya kuwaunganisha na Wachina wanaoshusha na kuuza mzigo wa bei ya jumla kariakoo kwenye bidhaa zifwatazo.
Kampuni...
Bei 1,180,000/=
mashine ni mpya
Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme)
🔴Ina uzito 65kg
🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW
🔴ukubwa wake 430*350*920mm
🔴material yake ni...
*Natengeneza na Ku-repare mashine au mitambo mbalimbali iliyokufa saketi zake za kielectronics na hivyo kushindwa kufanya kazi.
*Nahusika na mifumo ya kielectrical na Electronics tu,sihusiki na...
Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.