Habari wana jf
Natarajia kuvuna matikiti weekend hii.. Shamba lipo mlandizi-kitomondo.. Anaefaham wapi naweza pata wanunuz wa jumla wa matikiti naomba anijuze hapa
Ngelipenda kujua bei za jumla na reja reja za uuzwaji wa samaki aina ya KAMBALE sokoni hasa nyanda za juu kasikazini mashariki mikoa ya ARUSHA, KILIMANJARO,MANYARA NA TANGA.
NA JINSI YA KUPANGA...
Kiwanja kipo Mbezi Malamba mawili, njia ya kwenda kinyerezi.
Ukubwa wa 520 sqm
Bei ni 12,000,000
Malipo ni cash
Umeme na barabara ni hapo hapo
Kinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara kwani...
Looking to promote your products in Africa? Want to contact serious business enterprises in Kenya? Buy the-KENYA IMPORTERS DIRECTORY-now and send emails, faxes, letters or brochures directly to...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna business cards na t-shirts ambazo nimesha design, nnachohitaji ni kuzi print, je ni wapi naweza pata huduma ya kuprint vitu hivyo?? je gharama zake...
wadau sina pesa za kutosha kununua camera yenye uwezo mkubwa wa kurekodi video.\
mwenye uwezo wa kunipatia camera kwa hiyo pesa ajitokeze..
ni kama umenisaidia tu maana hiyo pesa ni ndogo sana...
Brandnew IPhone 5 for sale
Full accessories(No Box)
16GB Internal Storage
Colours available are Space Grey and Silver
Price 430,000 For Space Grey
Price 440,000 For Sliver
Contact 0784780955 or...
Brandnew IPhone 4s for sale
Original and Full accessories(No Box)
16GB Internal Storage
Black and White colours are available
Price 270,000
Contact 0784780955 or 0718942311(whatsap)