Kwa wanaohitaji kuku wakisasa wapp Kibaha Misugusugu wako 200 kwa wateja criazi unaweza letewa au kuwafuata bei maelewano kutokana na matakwa na upatikanaji wa mteja. Wasilian na 0715476787...
wakuu heshima yenu,
natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku
mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye...
Specificatios zake ni hizi zifuatazo,
Tare weight 3000kg, Gross weight 3500kg, engine capacity 2835cc, fuel= diesel. Ipo Dar es Salaam na inafanya kazi. Bei Tshs 25mil. Maongezi yapo.
Abari zenu wakubwa na wadogo.... natafuta msusi mwenye uwezo wakusuka style zote za mjini,
ikiwemo YEBO YEBO, MABUTU yanjia 2, na njia 3; afroking na mengine mengine. kwamawasiliano zaidi unaweza...
RUHUHU ENTERPRISES COMPANY LTD IS LOOKING FOR CUSTOMERS TO PURCHASE GINGER PRODUCED BY THE COMPANY. THE AVAILABLE GINGER PRODUCED IS ABOUT 30 TONNES. THE COMPANY IS LOCATED AT NJOMBE - TANZANIA...
Naomba kwa anaejua bei ya sasa ya pikipiki MPYA aina ya SANYA 150-9 anisaidie,kwa mazingira niliyopo nivigumu kufahamu na ndio maana nikaamua kuomba msaada kwenu wanajamii!!
Kama una computer yako, gadget kama tabu, ipad au simu inahitaji kutengenezwa. Usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0713218388 au 0756949732. Tutakufikia ulipo (DSM) bila gharama yeyote..kuuliza ni...
Habari zenu wote?
Natarajia kuanza safari yangu na kuweka vituo vya kulala katika miji hii ifuatayo naomba kujua jina la hotel/guest house/camping site yenye ulinzi,safi na upatikanaji wa...
PATA BIBLIA ZA KUSIKILIZA (AUDIO BIBLE) KATIKA LUGHA MBALIMBALI ZA KITANZANIA
1. KISWAHILI
2. KICHAGGA
3. KISUKUMA
4. KIGOGO
5. KINYAMWEZI
6. KINYAKYUSA
N.K
PIA TUNAZO QURAN KATIKA LUGHA HIZI...
Habari,
Ndugu zangu, Kwa wenye uzoefu na Hoteli za Jijini Mwanza naomba msaada wenu wa kujua hoteli nzuri, safi na yenye ulinzi jijini Mwanza. Breakfast na Chakula siyo muhimu kwangu. Gharama...
Jamani napika chapati nzuri....ila kama unataka ule chapati zinazochambuka na ni hot and fresh please book me for weekends ili nikuletee kwako au nikupikie nyumbani kwako so that you can enjoy the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.