HABARINI WANANDUGU
Nilikua naomba msaada wa kujua vitu vifuatavyo:
njia za kupata banda kwa ajili ya kuuza bidhaa gharama za banda kipindi cha maonyesho na idadi ya wafanyakazi unaopaswa kua...
natafuta chumba cha kupanga morogoro karibu mazimbu au kihonda mwenye kujua wapi kuna vyumba nijulishe sasa hivi maana niko njia panda kimawazo au nipe namba zako nikupigie
Laptop hp mpya inauzwa ina specification kama zifuatazo.
Ram 4gb,
Harddisk 1 telabite,
Core i3
Screen inch 17.
Bei ni laki sita na ishirini (620,000) Tuwasiliane kupitia 0713806767
Habari mwana jamvi?
Natafuta sehemu wanaotengeneza mizinga ya nyuki kwa Dar es Salaam.
Nahitaji kwa kuanzia kama mizinga 10
Kama unafahamu tafadhali ni PM
Asante
*Stereo Headphone with Retail Package Bluetooth V4.1 AUX Audio Cable.Headset soft PU coated material, feels very smooth, does not hurt your ears when used, with fairly large diameter is 76mm ear...
Katika maendeleo ya sayansi na teknolojia, kampuni inayotengeneza simu za TECNO sasa imekuja kitofauti na simu Phantom 6 ambayo ndio toleo jipya kabisa. Simu hii imekuja na vitu vingi vipya...
Kampuni ya unilever courier services inakuletea parcels,document, vipeperushi,magazeti au mzingo wowote hadi nyumbani.gharama ni nafuu kabisa, unaweza kutuagiza pia tuwapelekee wateja wako...
Kampuni ya unilever courier services inakuletea parcels,document, vipeperushi,magazeti au mzingo wowote hadi nyumbani.gharama ni nafuu kabisa, unaweza kutuagiza pia tuwapelekee wateja wako...
WEST UPANGA - MINDU STREET - IS A BEAUTIFUL AREA FOR INVESTING.
1350 SQM
PRICE : USD 1.650M @Negotiable.
For more Information, Please PM...
No time wasters Please....!!!
Karibuni!!
Vyumba viwili, Kimoja masta, Sebule, Jiko na Choo cha wageni nje.
Luku yake, Parking ipo, Fensi na geti na Maji ya dawasco ndani.
Kodi laki3"Mwezi, Maelewano yapo.
Kodi ya Miezi6 inatakiwa...
HOUSE TOLET
SUMMARY
Location: Dar es salaam, Mbezibeach
Asking Price: Tshs 300000
Bedrooms: 2
Bathrooms: 2
PROPERTY DESCRIPTION
A lovely house of two bedrooms, one en-suite, kitchen, living...