karibu tunakuletea(deliver) parcel au document mpaka nyumbani au ofisin

karibu tunakuletea(deliver) parcel au document mpaka nyumbani au ofisin

kamodo

Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
24
Reaction score
1
Kampuni ya unilever courier services inakuletea parcels,document, vipeperushi,magazeti au mzingo wowote hadi nyumbani.gharama ni nafuu kabisa, unaweza kutuagiza pia tuwapelekee wateja wako tukusambazie mawigi na kadi za mwaliko mpaka kwa walengwa. tunajishughulisha na document za siri pia,, ivyo kama ww ni mwanasheria au wakili unaweza kutuagiza kupeleka vimemo, official document- confidential document kwa mshitaki au mshitakiwa ukafika bila tatizo. tunasambaza vipeperushi kwenye maeneo yote ambayo tumeelekezwa kwa kuvibandika sehemu husika. Hatuangalii umbali ,,tunafanya kazi ndani ya jiji la dar na mikoani pia.
karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom