Nauza nyumba

NR'S

Senior Member
Feb 14, 2012
106
12
Nauza nyumba ipo kinondoni b meter 5 kutoka kituon ni ktk baraba in frem 5 za maduka bei 900 milion
1470684460019.jpg
1470684472570.jpg
1470684504531.jpg
1470684528580.jpg
 
Valuation ya bongo tamu sana;
1) ukitaka kuuza nyumba ya urithi mnakusanyana kujua idadi yenu then mnaamua kila mtu atapata tsh ngapi then mnajumlisha inakua bei ya nyumba
2. Ukitaka kuuza kitu chako kutibu mgonjwa basi tunaangalia gharama za matibabu inakua ndo bei ya kitu
3 ) ukiwa n matatizo yako gharama ya kuyatatua ndio inakuwa bei ya kitu unachouza.
Madhara yake ni kuwa huenda uka under au uka over value.
 
4)Mwanafamilia mmoja akikataa nyumba isiuzwe atalazimishwa hata kwa ndumba na ikibidi kumuondoa kabisa Duniani.
 
Bila shaka ni location au idadi ya wanandugu ndo imefanya million ziwe mia tisa ila kwa nyumba na fremu, nahisi kama zimejengwa kwa fito na fimbo then zikachapiwa kiaina nje na dongo, Babu kajikakamua kajenga kwa senti 80 yake.

Mungu asimamie biashara yako uuze kwa pesa nono mkuu.
 
Muuzaji sasa hv hakuna hela ya unga wala rushwa hata million 200 hupati,mlituonea sana watu wa kariakoo na huko mlipo,njoo na bei kamili ninunue,
 
Nauza nyumba ipo kinondoni b meter 5 kutoka kituon ni ktk baraba in frem 5 za maduka bei 900 milion View attachment 378156View attachment 378158View attachment 378160View attachment 378161

Mkuu, wewe unauza kiwanja au nyumba?

Hapo ni "Prime Area" hivyo jitahidi, ila kwa sasa unaweza kushusha hizo 900M?

Nyumba/ Kiwanja ni chako?

Je kina "Title Deed"

Je kina Mita ngapi za mraba?

Ina umbali unaotakiwa kutoka barabarani (mita 30)?

Hizo frames za maduka umeongozea tu nje ya "planning permission" au?

Naomba majibu tafadhali.
 
Kwa wakati wa sasa kununua kitu kwa cash itokwisha kabisa kama nyumba hivi maan TRA wapo wanakodoa macho kila kona.
kama hii milion 900 utaambiwa tupe mchanguno wa biashara yako unalipa kodi ww?MAAN KWA MFANYA BIASHARA HALALI KUTO HELA KAMA HIYO CASH sio kitu kidog
 
Mkuu, wewe unauza kiwanja au nyumba?

Hapo ni "Prime Area" hivyo jitahidi, ila kwa sasa unaweza kushusha hizo 900M?

Nyumba/ Kiwanja ni chako?

Je kina "Title Deed"

Je kina Mita ngapi za mraba?

Ina umbali unaotakiwa kutoka barabarani (mita 30)?

Hizo frames za maduka umeongozea tu nje ya "planning permission"
nimekutumia document zinazoonesha details ya kiwanja
 
Attachments

 • 1470743013588.jpg
  1470743013588.jpg
  17.3 KB · Views: 67
 • 1470743027725.jpg
  1470743027725.jpg
  21.1 KB · Views: 61
 • 1470743044961.jpg
  1470743044961.jpg
  25.2 KB · Views: 58
 • 1470743054121.jpg
  1470743054121.jpg
  32.2 KB · Views: 60
Wakuu kwa mwenye kutaka kiwanja bei kuanzia milioni 3.5 maeneo ya mbagala vikindu piga Simu 0713 632 207
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom