Naomba anaye kudesign na kuprint calendar zile kubwa za ukutani, zenye karatasi 6 pamoja na picha kwa kila karatasi anipe bei ya jumla kwa calendar min 200,
Brand new Samsung Galaxy S5 LTE, waterproof, Gold color 16GB For Sale, comes with all accessories.
#0654776976# pia kuna s6 edge 64GB, iphone 6s gold 64GB, na smartphones nyingne za kisasa za...
Nyumba inauzwa 60m iko mbagala chamazi, ina vyumba vitatu kimoja master, dining, Jiko,store, choo, sebule, eneo la parking full fenced pia Ina Hati miliki etc.
Mashart mazuri kila rangi unaweza kuchagua rangi utakayo na kwa kutoa oda piga smu au whatsap no 0656436662 tuko dar es salaam karibun sana kila shart ni 25000 tu...
Habari zenu wakuu humu ndani,
Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimeamua kuuza simu yangu iPhone 5s nimetumia mwezi 1 tu. Bei ni shs.650,000/=.
Jipatie kiwanja kuanzia million 3.5 maeneo ya mbagala vikindu... wasiliana nami nikupeleke uka chague mwenyewe na ujioneee mwenyewe
Shukran
Namba 0713 632 207
Bei tsh mil 16.5
1.plate number T675-DGA
2.Ya mwaka 1999
3.imetembea km 106,000
4.ina CC 2900
5.ipo katika hari nzuri
6.engine ni 6 cylinder lakini ni VVTi ambayo sawa na 4 (wanaojua magari...
Wakuu salaam
Kwa mwenye uhitaji na Tikiti maji
Zipo F1 pundamilia ujazo wa nguvu shamba lipo Mwadui shinyanga karibu na senta ya maganzo.
Nipigie 0765021800
Au pm
Karibuni sana
Destiny Business limited ni company inayotoa huduma ya kutengeneza car parking shades za kisasa na zenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani, ofisini ,hotelini nk. Ofisi yetu ipo Sinza...