Open: Nyumba inauzwa Bagamoyo road, eneo la Boko Basihaya

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,599
23,886
Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom yenye choo na viwili ni bedrooms vya kawaida na dinning and seating rooms pia kuna choo kimoja cha kushare pamoja na store ndogo.

Ukubwa wa eneo ni 25/20meter za mraba. Ipo katika mazingira ya hatia za mwisho za kumalizika (finishing).

ILIPO:
Nyumba ipo bagamoyo road eneo la Boko basihaya mita 120 kutoka barabarani, na barabara ya mtaa inafika mpaka kwako.

Bei wasiliana nami nikuunganishe na muhusika hakuna dalali.
 
Bei "WASILIANA NAMI" nukuunganishe na muhusika "HAKUNA DALALI"

kwa hizo nilizowekea herufi kubwa unapata picha gani mleta mada?

Dalali ni mtu kati tu so we huna tofauti na huyp dalali unamsema…!

Matangazo ya viwanja na nyumba sikuhizi yamekuwa mengi toka bomoabomoa ianze sa sijui kama pako salama hapi
 
Pako salama sana, unaruhusiwa kuja kukagua, lakini hapo niliposema hakuna dalali nina maana ambayo dalali anataka cha juu baada ya mauziano mimi siyo kazi yangu hiyo na wala sina nnachopata, isipokuwa muhusika ameniomba nifanye hivyo.
Dupe
 
Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom yenye choo na viwili ni bedrooms vya kawaida na dinning and seating rooms pia kuna choo kimoja cha kushare pamoja na store ndogo.

Ukubwa wa eneo ni 25/20meter za mraba. Ipo katika mazingira ya hatia za mwisho za kumalizika (finishing).

ILIPO:
Nyumba ipo bagamoyo road eneo la Boko basihaya mita 120 kutoka barabarani, na barabara ya mtaa inafika mpaka kwako.

Bei wasiliana nami nikuunganishe na muhusika hakuna dalali.
Namba ya simu please na bei. Isije ikawa Chasimba penye mgororo na Kiwanda chq cement. Nipe namba ya simu na bei
 
Namba ya simu please na bei. Isije ikawa Chasimba penye mgororo na Kiwanda chq cement. Nipe namba ya simu na bei
Mkuu haipo cha simba wala cha tembo njoo uione mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom