Wakuu natafuta nyumba au apartment ya 3 bedrooms. Iwe na Ac. Maeneo ya mikocheni A isivuke TMJ hospital kuelekea kawe, msasani, masaki, oysterbay. Note isiwe maeneo ya 'uswahilini'. Inbox pamoja...
NAONA LEO HALI YA NJIA YA KWENDA GONGO LA MBOTO IKO SHWARI HAKUNA MAHONI HONI HAKUNA FOLENI YYT MATRAFFC WANAFANYA KAZ ZAO KWA RAHA KIUKWELII HALI IKO KAMA CU ZTE HAKUNA MATATIZO ILA MH MTV C WATU...
Habari za saa hizi wadau?
Niliona nijishughulishe na kilimo cha mahindi nimelima sehemu, nguruwe pori wakala mahindi yote sasa nimeona kuliko nigombane nao napaswa kuwatumia kama fursa...
Lg Tv 43 inch
Full HD 1080P
LED display
Metallic Design, Virtual Surround
2 HDMI ports, USB, Antenna
slim Tv
still have warranty, used 2months. still new and it has its box. Kinondoni, Dar es...
Habari wakuu,kuna jamaa yangu anauza kiwanja chake maeneo ya Kigamboni Vijibweni,
Ukubwa wa kiwanja ni miguu 19 kwa 16
(Kinatosha vyumba 2 + sebule + packing ya gari moja)
Kimepakana na majirani...
Viwanja vipo viwili sehemu moja (ndani ya fensi) vina nyumba za kawaida sana Karibu na kanisa la Rutheran hapo tangibovu.
1. 620sqm kwa 120milion
2. 1200 sqm kwa 220milion
Call 0689315582
Mabibi na mabwana kama heading inavyoeleza, kwa yeyote anayejua baiskeli za bei nafuu hata kama ni used zinapouzwa asisite kunijulisha.
Unaweza kunijulisha kwa namba hii 0656077998, zawadi nono...
GINCO Plus.
Je unachangamoto ya kuwa na kizunguzungu, pumu, uchovu, stroke kutokua na kumbukumbu, nk?
Tumia GINKGO PLUS (Inajulikana kama chakula cha fikra).
Majani ya Gingko Biloba –...
Natumai muwazima wanajukwaa,
Naombeni msaada wa upatikanaji wa kuku wa kienyeji kutoka Singida ,dodoma au maeneo ya Iringa au nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam.Nahitaji kufanya biashara ya...