Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu. Kwa mahitaji ya software ambayo: 1.Ni rahisi kutumia 2.Ina Report za aina zote za IFRS 3.Haihitaji server(CLOUD) 4.Unaweza tumia aidha kwenye computer, simu, tablet au kote kwa...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Howo dump truck (6*4) standard cab. type: inline, six cylinder, turbocharging and intercooling. WD615 engine with two valve, rear turbocharge. Transmission: HW series 10 gear, main and auxiliary...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Natafuta simu yenye nchi 4 iwe laini 1 isiwe na shida hata moja
0 Reactions
7 Replies
901 Views
Nina viwanja Kisemvule 15 Km kutoka Mbagala rangi tatu. Nauza ukubwa 100 kwa 50 futi bei 6.5ml, umeme upo maji yapo. Eneo ni tambarare na mchanga haununui. Kuna kingine vikindu kina matofali...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauza 180000, 0755661541
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba anaefaham exchange rate ya viwango vya hela tafadhali anisaidie update za US DOLLAR na EURO please
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Hivi nikikupa 50000 na nokia lumia 525 nzima kabisa haina tatizo lolote. JE WEWE UTANIPA CM GANI? AU KITU GANI?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gari sawa na mpyaaa imeendeshwa na mwanamama.. sababu ya kuuza ni ili kununua toleo la karibuni zaidi Land Rover Discovery 4 Year 2013 Fuel diesel Automatic 28000km Imelipiwa kila kitu...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
Wakuu nimepata Kazi Masaki mwisho, sometime ntakuwa natoka very late. Kwa sasa, nipo Mbagala. Mwez wa kumi natarajia kuhama huku. Nikipata cha 30-50 sio mbaya. Ila ni lazima kiwe na umeme na...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Natafuta kioo cha S3 mwenyenacho ani PM
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Natafuta Mafundi wa kutengeneza mashinde mbalimbali za hospital kama x-ray, ultrasound, CT scanners, MRI. Piga 0756514644/0715514 644
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, nimeamua kuwa mjasiriamali wa kufuga kuku wa kisasa. sasa wameanza kutaga, soko linasumbua kidogo, mwezi uliopita mayai trey ilikuwa sh. 8000 hadi 8500 bei ya jumla sasa hivi ni sh. 6000...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna MTU mwenyekiti gari yenye no at list C au D pia aina ya gari Noah ,IST,Carina TI au vits na Stalet Toleo jipya engine iwe nzuri cont. 0766008007
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Kwa atakayehitaji tuwasiliane kupitia namba hii UPDATE : SOLD
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nauza mashuka ya kigoma size 6*6 na foronya zake 2 za mito kwa shilingi 60,000.napatikana dar es salaam.kama upo mkoani pia unatumiwa mzigo wako.kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Imarisha ulinzi wa makazi/Eneo lako la biashara na Leu technologies. Sisi ni wataalam tuliobobea kwenye uuzaji na ufungaji wa mifumo mbali mbali ya ulinzi kwa bei rafiki. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua bei ya hiace ikiwa yard hapa tanzania ?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu mm nataka kufuatilia process za kupata cheti cha kuzaliwa Nina kadi ya kriniki ya mtoto mwenyewe sasa sijui nianzie wapi na gharama zake ni zipi na itachukuwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe, Bei ni tsh laki moja tu Kwa heka Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea Kwa mawasiliano zaidi npigie 0764426929,0655726929 na whatsap 0742188846
0 Reactions
0 Replies
792 Views
1000watts Smart Full HD Up-scaling Premium content Wireless Audio Streaming via Bluetooth USB Direct Recording & Playback 3D Playback LG Apps Wired(Ethernet) External HDD Playback price: 780,000...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…