Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

CIty NET CO. LTD | Facebook
0 Reactions
3 Replies
655 Views
habari zenu wanajamvi. ninauza kiwanja changu, kina ukubwa wa hatua 20x20 kwa bei ya Tsh 15,000,000/- maongezi yapo. kipo kerege bagamoyo mita 100 toka barabara kuu ya dar bagamoyo,umeme upo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Kama unajua una chumba chenye choo ndani na kipo kati ya Mbezi Mwisho au Mabibo tafadhali nitaftee kupitia namba 0655184593 WhatsApp namba hiyo au msg me...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
NAIUZA HII BIKE AINA YA HONDA NEXUS,CC 250,INATUMIA STARTER,INA GIA 5,INATUMIA REJETA.....IKO NA KADI YAKE,ISHASAJILIWA....HII PIKIPIKI ILIKUWA IMPORTED KUTOKA DENMARK....KWA WALE WATUMUAJI WA...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimepata matatizo,hivyo nauza kiwanja changu kipo Mwanza-Nyegezi kkata ya Luchelele,kiwanja kimepimwa na kina 15 kwa 30,nauza milioni 4,kiwanja kipo kilomita tatu toka chuo cha saut mwanza na km...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye kuweza nisaidia injini ya hiyo pkpk plz njoo inbox au 0678487207
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 70m*70m . Bei 13 ml. 0753101293
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kina sq 663 kipo Buyuni CCM Chanika block 19 plot namba 270 kina nyumba imefika kwenye renta. Nina shida sana naomba mwenye kuhitaji anicheck mimi mwenyewe mmiliki hakina cha dalali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna viwanja vinauzwa Chanika zingiziwa 20x20 vipo eneo zuri mkabala na zahanati ya serikali kiasi kwamba vinafaa hata kujenga kitega uchumi kwa wanaoelewa fursa zipatikanazo maene jirani na...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
African capital ni taasisi inayohusika na mikopo. Inatoa mikopo kwa watumishi/wafanyakazi wa serikali. Riba ni 18% kwa mwaka na unapata mkopo wako ndani ya masaa 24 tu. Masharti ni uwe mfanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Hello unakaribishwa Enterprise finance limited(EFL), kwa huduma ya mikopo ya haraka na masharti nafuu.Tupo Dar es salaam na Arusha. kwa mawasiliano zaidi piga simu no.0763882788 au 0656862682...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jua tatizo la nguvu za kiume Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
namtafuta MUZAJI SERIOUS idada kubwa ya FLASH DISK 8G ORIGINAL(flashi OG) aina ya San Disk kwa bei ya jumla wasiliana nami kupita no ya mkononi 0767-386088. tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
637 Views
nimeikuta pahala nikaona kuwa ni pahala sahihi, maana kuna nyumba nyingi za jf mke hajui kupika wala kuandaa chakula, wapo atumishi wa ndani hawajui kupika wala kuandaa chakula, tafadhali soma...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Tv chogo aina ya Panasonic, DVD deck aina ya Singsung pamoja na subwoofer aina ya Pinetech vinauzwa kwa pamoja... Bei ni 200k. Location...Mkuranga. Sababu ya kuuza check Google kuokoa muda. Cont...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa square meter 1800 Mahali kilipo Maili moja kibaha njia ya kwenda kwa mkuu wa mkoa Nyumba iliyopo ndani ya kiwanja ukubwa na vyumba 4 vyoo vya ndani jiko sebule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kama upo arusha na una uelewa mzuri kuhusu blogs as well as adsense, ntafute 0654438208
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Nina king'amuzi cha azam tv kizima kila kitu sawa kasoro cable tu. Kipo ubungo Dsm. 0715490570 Bei 90k tu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau duka gani Dar es Salaam naweza pata hyo simu tofauti na inayouza tigo shop na ntaipata kwa Tsh ngap?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom