Tunafunga wiring na tunafanya ufundi nyumba ambazo zinakimbiza umeme Tunalekebisha short kweny majumba na viwanda Natunachora ramani za umeme na kugonga muhuli pia nafundisha vijana wanaohitaji...
Pc yangu hp elitebook 2730p naiuza sababu nimekosa harddisk yake.
Ina ram 2gb
Bettry ipo poa sana
Kila kitu kipo poa tatizo harddisk.
Nipe offa yako kwa namba 0788622610.i
Jambooo ndugu zangu
Nahitaji mashine ya selcom kwa mwenyenayo ambae anaiuza
Nipo dar es salaaam
Itapendeza zaidi ukiiitaja bei hapa
Pia unaweza kuni PM
.....Nauza fridge aina ya LG. Limetumika miezi minne tu... Bei ni laki tano tu(500,000)... Nipo Dar es salaam... Nimeambatanisha picha zake kwa chini... Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa...
Habari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara sabasaba nyuma ya shule ya st antony. Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.
NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji...
Nauza modem ya Voda kampuni ya huawei#E303#Ina WI-FI kama pc haina WI-Fi hivo itakuwa msaada juu ya hilo#Original pesa inatakiwa 20,000/= fasta niko dar
Note:Utaenda ku unlock mwenyewe kwa elfu 5...
Unapohitaji kitanda imara cha chuma basi tucheki autoguru workshop. Sisi ndio
Magwiji wenye proven records ya ufundi wa vitanda hapa Tanzania.
Tunakutengenezea vitanda imara vya chuma kwa ajili...
MAGIC MOP (Madekio ya ajabu)
yanapatikana kwangu kwa Shilingi 25 kwa mkopo (Kilimanjaro tu) na unatanguliza 10 elfu 20 cash zinadeki na kukausha maji mara 10 zaidi ya ile ya zamani...