Hallo,
Plz, natafuta mtu wa kunifundisha bodaboda kwa siku tatu tu. Siku 3, baada ya hapo awe na uhakika kuwa ntakuwa nime fuzu. Najua kuendesha gari(uzoefu 11yrs) hivyo sheria zote barabarani...
Habar zenu wandugu, Nina rafiki yangu anauza premio yake ili aweze kuongezea kwenye mtaji wa biashara yake, bei anayouzia Gari yake namba b anaanza 5.5m pungufu unaongea, Gari ipo magomeni Na ina...
Picha zinajieleza mm ni mfanya biashara mjasiliamali naanza biashara.
Natafuta anaeuza viatu hibi ili nianze biashara kwa kununua na kuuza.
Mawasiliano
0625 568600 au 0755 103405
kutana madokta wa gari ya kisasa Magari tunayo shugulika nayo ni Mercedes-Benz, BMW, Audi, Ford, na Volkswagen.
kama unatatizo sehem yoyote kwenye gari yako karibu utuone.
Pia tuna shugulika na...
Simu iko vzr bt ina creaking kwa nyuma km inavyoonekana kweny pich but kila kitu kiko vzr inauzwa 170,000 tu
Nichek 0719210905
Location mbezi beach africana
Nyumba au kiwanja kiwe eneo la Kigamboni.
Kama una nyumba au kiwanja nitumie habari zake kwa njia ya whatsapp, picha na maelezo yake wapi kipo na kama ni nyumba mf ina vyumba vingapi n.k...
karibu ni sana kwa mahitanji ya
nyumba za kupanga
kununua au kuuza viwanja
kununua au kuuza nyumba office ipo hakuna ubabaishaji wala utapeli
piga simu Call Us:+255 755-181222.
tembelea hapa...
Ninahitaji kampuni inayo fanya shughuli ya utafiti na uchimbaji maji.
Kazi zinazo takiwa kufanyika:
1. Kufanya survey na kushauri,
2. Kuchimba Kisima.
Asante. Josam
Salaam wadau..natafuta Wafanyakazi wa kusaidiana nao kazi kwenye mini super market iliyopo Kunduchi Ununio.1 wa kile na 1 wa kiume..sifa ni kama ifuatavyo:
1.Awe anakaa maeneo ya karibu ili...
Eneo lenye square metre 900 linauzwa kigamboni mwembe mdogo.
Eneo halijapimwa ila lina docunents za serikali ya mtaa.
Bei 18 mils.mhusika namba yake ni 0688151545.
Anayehitaji ampigie
Over