Hivi Lukobe ni kata gani?ninauzà kiwanja kipo ndani ya mañispaa morogoro lukobe kina ukubwa wa hatua 30 kwa 45 kina offer bei ni milioni 4 maongezi yapo.
Lukobe ndio jina la kataHivi Lukobe ni kata gani?
kiwanja kipo lukobe mtaa wa kisangano, ndio kimepimwaLukobe mtaa gani? Na Je kimepwa?
ok nipe no yako simu inbox then nitakupigiaNitafute