Salama wakuu katika jukwaa hili
Nina shida na Tv ya Inchi 32 kama kuna MTU ana tawi Kwa Mwanza na Musoma tafadhali
Anicheki Kwa
0767258286 WhatsApp
0789258286
OFA OFA OFA OFA
Ungependa kutengeneza tovuti yako bure sasa na kwa muda mfupi?
Ungependa kupata hosting na space kutosha?
Ungependa kupata domain name bure ?
tzhost inakupa yote hayo pamoja na...
Nyumba ya kisasa parking, Kisima cha Maji safi Gari hadi getini, Ipo km 1 toka darajani/pantoni
Tsh. 500,000 kwa mwezi
Vyumba vitatu kimoja master
Sebule ,Jiko la ndani na nje, choo...
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata Monitor ya komputer kuanzia inch 24 na kuendelea ani PM, ila iwe na uwezo wa kutumika kama TV pia kwa kuunganisha King'amuzi na DVD Player
Matikiti bei bora kabisa yame wasili sokoni hapa Tandale
Ndonga fresh za kumwaga 3000-5000 (sikuuzii 6000 staki zambi)
size ya kati 2000-2500
ndogo kiasi -1000-1500
Tukutane soko la matunda...
BAADA YA KUONA AJIRA ZA SERIKALI HAZIAMINIKI , TUMEAMUA KUVUA GAMBA NA KUVAA GWANDA KWA AJILI YA KUWA TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE TANZANIA!!!
SISI KAMA VIJANA WENYE NGUVU NA UWEZO WA...
Baada ya kuona nyuzi nyingi za malalamiko ya watu kutapeliwa ni vizuri kupeana ufahamu na namna ya kukwepa mitego ya matapeli na wale wote wenye nia mbaya na biashara nyingi, zinazotangazwa...
Kwa mahitaji ya viti na mapambo kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama harusi, misiba, kipairmara, seminar, mikutano, graduation hasa Iringa mjini wasiliana nasi kwa namba 0768221256/0755535052
,,NATAFUTA SEHEMU YA KUANZIA NJIA PANDA YA MBEZI MPAKA KANISANI KWA CHINI ,KABLA HUJAFIKA NJIAPANDA YA CHUO KIKUU,,KISIWE MBALI NA BARABARA YA LAMI,,MAX KM MOJA UPANDE WOWOTE HASA ULE WENYE...
Kiwanja nahitaji nje ya Dar kwa tsh Laki tano tu. 500,000. Eneo nnalokusudia nipate ni maeneo ya Kibaha Chalinze mlandizi kimanzichana na kuendelea Kibindu.
Tuwasiliane in box
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa...
KAMATA FRIDGES MPYA NA KALI ZAKISASA SIZIZOCHURUZISHA MAJI NDANI MPYAA ZIKIWA NA WARRANTY N GUARANTY YA COMPRESSOR USAFIRI BUREE MPAKA HOME PAMOJA NA FRIDGES GUARD ZINAANZIA 400,000 NAKUENDELEA...