Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 4.5M.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora.
Kiwanja #29 & #30...
Site ya Kujenga Mnara wa simu Inapatikana(KODISHWA). Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)
Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.
Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili...
Habarini ndg zangu.hongereni na majukumu. Ninatafta mteja wa mananasi yatakuwa tayari bada ya wiki moja. Mahali yalipo ni bagamoyo yeyote aliye tayari aje PM karibuni.
Namba yangu ya simu 0676494828.
Wadau, ni matumaini yangu hamjambo. Nauliza kwa yeyote mwenye kujua kuhusu biashara ya kuagiza spea toka dubai kuja Tanzania naomba aniunganishe ikiwezeka na wauzaji wa kule Dubai.
Natanguliza...
-Mabati haya ni mazuri sana kwa kujengea mabanda ya kufugia kuku, mbuzi n.k
-bado yako imara na MTU akiyapenda anaweza akayatumia kuyaezekea nyumba yake pia.
-hayatunzi joto sana,haina haja ya...
Nauza viwanja/ mashamba yapo kawawa Moshi metre 200 kutoka katikati ya barabara ya Moshi Tanga/Dar
kuna maji ya kutosha na umeme
bei ni kuanzia mill 2 hadi 5 kwa 17.5metre kwa 35 metre...
Wakazi wa Dar Es Salaam karibuni sana kujipatiana mboga nzuri kutoka Bukoba kwa bei nafuu.
Tunauza aina mbili za hawa samaki waliokaangwa na kubanikwa.. Tunao sangara na sato waliokaangwa au...
Kwa anae hitaji website au blog kwa bei poa kabisa awaseiliane na sisi kupitia
0625932259
faridisadick@yahoo.com
faridisadick@outlook.com
Tupo Dodoma tanzania.
Wadau
Kama kuna mtu anauza simu aina ya Tecno C 8 au C 9 au toleo lolote zuri naomba tuwasiliane PM. Simu iwe katika hali nzuri (isiwe imechoka).
Mimi niko Dar
Asanteni.