Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo la ekari 1.5 linauzwa Mwasonga Kigambon, bei ni 10 Milini. Kama utahitaji ninapatikana kwa namba 0621 047708
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Habari wana Jf. Nauza kiwanja kipo Chanika jirani na mtaa wa Ngwale. Ukubwa ni mita 15*15,,bei ni 2.7mil,,maelewano yapo. Kiwanja hakina hati,huduma mhimu kama barabara na umeme vipo. Umbali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
natafuta printer HP Laserjet 500 Coloured Printer M551 nichek 0719210905
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Lipa kidogokidogo kwa [emoji819]instalment Pafanye kwako pawe na muonekano flani hv amazing na mdogomdogo payment ya amazinglifestyle Tv,fridge,washingmachine, Musicsystem,jiko, nk Chochote...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
New htc one Ina crack kidogo sehemu ya chini pempezoni mwa kioo ambayo inaweza ikaapuziwa maana haiathiri chochoteni 16gb Nipigie 0788622610 . Maassalam
0 Reactions
4 Replies
883 Views
Tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017, mkwajuni sekondari Shule ya sekondari mkwajuni, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017 kama ifuatavyo; 1. Kidato cha kwanza 2...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau,natafuta shamba kasulu kwa mwenye nalo tuwasiliane,likiwa karibu na chanzo cha maji ni vizuri zaidi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama uko na Laptop yako imekufa, naomba uniuzie screen yake kama spea. Ofa yangu ni Tsh 30,000/- Njoo PM.
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Nauza kiwanja changu kipo Gezaulole - Kigamboni, kimepimwa kinaukubwa wa sqm 450 bei ni 9m maongezi yapo
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Line of weakness
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya haraka Tanga mjini iwe ya vyumba viwili au vitatu master, nmehamishiwa kikazi huko kama kuna dalali mzoefu kwa humu naomba anitafute kwa direct text humu au atume mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye kutaka chumba maeneo ya mombasa na moshi bar pia magomen kagera,na mwembe chai ni pm upate chumba safi kabisa kwa bei rahisi
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Mwenye note 5 safii 32gb aje nimpe note 4 safii 32gb na top up juu.....iwe Arusha PM kwa mawasiliano zaidi..
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Ukiongelea mwanamke wa nguvu huwezi kuacha kumtaja shishi,unaanzaje labda kwa mfano kutomtaja.... Aja kivingine,kwa mikono yake miwili mtoto wa Igunga anakupikia chakula asilia kisicho na...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha habar hapo juu nahitaji wale jamaa ambao huwa wanachekesha barabaran au kwenye mabar kwa kujichora usoni na matumbo makubwa wenye no plz an pm na function J4.
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleleo vnapatka huduma nyngn znaptkana kwa ukaribu..lipia 70% thn nyngne 30% unaruhusiwa kulipia ndn ya wik 6-8 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Habari za jioni wana JF. Naomba mwenye kuelewa wapi naweza kupata used Electrical Wheelchair, maana mpya nimeangalia bei zake ni ghali sana. Naomba msaada wenu tafadhalini.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nymba ipo vzur Master 1 Single 2 Sitting room, Public toilet 1 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…