Natafuta laini ya tigo pesa na m pesa...kama wewe unazo ama unayo haina shida yoyote wasiliana nami fasta ama ni pm..pesa nje nje
Nipo mwenge dar es salam
Habari wadau, ningependa kutambulisha baadhi ya huduma tunazotoa kwa watu au makampuni kupitia StarArts.
*ukiwa na swali lolote nitajibu kwa uwezo wangu, Asanteni sana.
Kipo Kivule-Sirari. Ukubwa 400 msquare(20m×20m). Bei chee Tshs 1,800,000/= Umeme na maji vipo. Mita 150 kutoka barabara kuu. Gari kubwa inaingia mpaka kiwanjani. Kipo jirani na nyumba za kisasa...
Habari JF Members
Nauza modem ya Zantel yenye maelezo haya
1. Huawei mobile broadband
2. Model Huawei EC122
3. CDMA1X EVDO Rev. A USB stick
4. FCC ID. Qisec122
5. Made in China
6. Bei 25,000Tzs...
Habari zenu wadau
Niliwahi leta uzi kuhusu project ya viwanja na leo nimeleta mrejesho kuwa Mungu mwema mradi umekamilika na vipo sokoni.
Uzi wa zamani unaweza kuuvuta hapa.
Mradi wa upimaji...
Nauza simu tajwa hapo juu ambayo ni nyeupw na used. Ni single laini, mfuniko wake wa nyuma una crack kiasi. Ila iko vizuri na haichagui laini. Bei ni 120,000/= cash. Nicheki 0787-561703. Nipo dsm.
Habari wanajamvi,
Poleni na majukumu.
Wanajamvi wenzangu, mimi nipo kijijini huku, nimeiona changamoto moja nahitaji kuifanya fursa, changamoto yenyewe ni ukosefu wa maturubai ya kutundika...
Details of this vehicle
Year: 2001
Capacity: 1490cc
Kms: 24162 (low mileage)
Will arrive in Dar port on 10 March 2012
Offer price is Tshs 14m - no room for negotiation. Please send me your...
Tunauza kuku na kusambaza popote ulipo unafikishiwa kwa mikoa ya Dar, Iringa na Morogoro gharama za usafiri ziko kwetu. Bei zetu ni nafuu sana weka order yako sasa ndani ya siku tatu unaletewa...