Habari wanajamvi,
Poleni na majukumu.
Wanajamvi wenzangu, mimi nipo kijijini huku, nimeiona changamoto moja nahitaji kuifanya fursa, changamoto yenyewe ni ukosefu wa maturubai ya kutundika kwenye sherehe au misiba.
Huku kijijini tunapata kazi ya kukata miti au kupita kuazima kwa watu binafsi sasa nikipita pita huko mijini kwenu nayaona maturubai mnatundika na yanakua na nguzo za chuma, nimeyapenda na nataka kua nayo.
Please kwa yoyote anaejua mafundi/wataalam wa kuyatengeneza anisaidie hapa na bei zake kabisa.
Nahitaji kama 3 hivi.