Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana jukwaa habarini, Juzi juzi nilieka advert ya kuuza sim humu JF, basi wakatokea watu waka ni PM na mmoja wao alikua anatumia username Deimos, basi akaniambia yupo Tabora na yupo interested na...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Tunatoa huduma za printing kwa bei ya Mtanzania[emoji4] Karibu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza Samsung s7 Edge/32gb hiyo inahitaji Tsh. 1,100,000 / Tsh.1.1m...mwenye uhitaji anicheki 0655659115
0 Reactions
1 Replies
572 Views
Jipatie lotion za kutoa nyama uzembe,weusi wa kijichubua, michirizi sugu.mawasiliano 0784130874 au nifollow @ slimming lotion
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Inajicharge yenyewe cjui inakuaje? Nikitoa kwenye chaji bado inaonyesha ile alama ya charging, mwenye utaalam anisaidie plse, cm ni original, c ya kichina
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Price 9.2M Contact 0672-926143
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari..naitaji godoro la dodoma foam inch 8-10...kwa bei ya inch 8(120,000-130,000)inch 10-150,000... wapi naweza nikapata kwa bei hiyo??? Napatikana tabata kinyerez.z shukran
0 Reactions
24 Replies
55K Views
Wadau salamu zenu! Ninatafuta kiwanja maeneo ya Majohe kiwe karibu na kwa Ngozoma au Majohe Kichangani. Kiwe na ukubwa wowote. Natanguliza shukrani wadau.
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Salama wakuu katika jukwaa hili Nina shida na Tv ya Inchi 32 kama kuna MTU ana tawi Kwa Mwanza na Musoma tafadhali Anicheki Kwa 0767258286 WhatsApp 0789258286
0 Reactions
1 Replies
895 Views
kwa aliye serious anaweza kuwa ananiagizia pweza toka dar kuja mbeya kila siku anipm
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka pikipiki aina ya boxer mpya na bei yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
OFA OFA OFA OFA Ungependa kutengeneza tovuti yako bure sasa na kwa muda mfupi? Ungependa kupata hosting na space kutosha? Ungependa kupata domain name bure ? tzhost inakupa yote hayo pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Nyumba ya kisasa parking, Kisima cha Maji safi Gari hadi getini, Ipo km 1 toka darajani/pantoni Tsh. 500,000 kwa mwezi Vyumba vitatu kimoja master Sebule ,Jiko la ndani na nje, choo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari,wakuu Natafuta dalali yoyote wa magari,tuwasiliane 0762508455.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata Monitor ya komputer kuanzia inch 24 na kuendelea ani PM, ila iwe na uwezo wa kutumika kama TV pia kwa kuunganisha King'amuzi na DVD Player
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Matikiti bei bora kabisa yame wasili sokoni hapa Tandale Ndonga fresh za kumwaga 3000-5000 (sikuuzii 6000 staki zambi) size ya kati 2000-2500 ndogo kiasi -1000-1500 Tukutane soko la matunda...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Habari,natafuta Suzuki carry ,ya kununua yenye Box body nyuma,mwenye nayo anitafute number 0762508455!
0 Reactions
0 Replies
649 Views
BAADA YA KUONA AJIRA ZA SERIKALI HAZIAMINIKI , TUMEAMUA KUVUA GAMBA NA KUVAA GWANDA KWA AJILI YA KUWA TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE TANZANIA!!! SISI KAMA VIJANA WENYE NGUVU NA UWEZO WA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina feni kubwa ya juu, natafuta wa kubadilishana naye feni ya kuzunguka ya juu Mawasiliano: 0686027474
1 Reactions
1 Replies
855 Views
Habar wana JF Naomba kuuliza ile company inayotoa mkopo wa laptop kwa wanafunzi na wafanyakazi wa serikali inaitwaje na iko wap
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…