Nauza kipande cha plot maeneo ya jiran na dege kigambon

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,364
1,225
Ni eneo zur liko barabaran kabisa karibia na magorofa ya dege. Umeme umepita na barabara ya lami. Umbali ni mita 50 kutoka main road. Ukubwa ni mita 23*24. Bei ni milion 6 maelewano yapo. Hakuna dalali mimi mwenyew ndio mmiliki wa eneo hili. Nitafute 0713806766.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom