Mawakala wanahitajika

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,398
2,000
Habari, Mimi natengeneza na kuuza unga wa lishe kwa Jumla na rejareja

Nipo hapa kutafuta wasambazaji
ambao ntawapa kwa Mali kauli kuanzia kilo kumi kwa bei ya 2500 kwa kilo wao wakauze 3500-4000

Kama utahitaji kuwa wakala wangu na upo dar es salaam weka namba nikuchek au piga 0714547830
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom