Wadau, kwa anayefahamu tafadhali nijulishe wapi naweza nunua mashine za kuosha vyombo vya kulia chakula (dish washers) nimepita maeneo kadhaa sijazipa. Kwa anayejua anieleze ukubwa wa mashine na...
habari wana JF ...natafuta hausing ya samsung j7 ...km kuna mtu anahucka na accessory za simu au unamfaham yyte unaweza kuniambia anapatikana maeneo gn ili nipate iyo hausing ...asante
Habari wana Jf.
Nauza kiwanja kipo Chanika jirani na mtaa wa Ngwale.
Ukubwa ni mita 15*15,,bei ni 2.7mil,,maelewano yapo.
Kiwanja hakina hati,huduma mhimu kama barabara na umeme vipo.
Umbali...
Lipa kidogokidogo kwa [emoji819]instalment
Pafanye kwako pawe na muonekano flani hv amazing na mdogomdogo payment ya amazinglifestyle
Tv,fridge,washingmachine, Musicsystem,jiko, nk
Chochote...
New htc one
Ina crack kidogo sehemu ya chini pempezoni mwa kioo ambayo inaweza ikaapuziwa maana haiathiri chochoteni 16gb
Nipigie 0788622610 .
Maassalam
Tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017, mkwajuni sekondari
Shule ya sekondari mkwajuni, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017 kama ifuatavyo;
1. Kidato cha kwanza
2...