Viwanja vinauzwa Kigamboni

suluhisho

New Member
Nov 6, 2015
1
0
Heka 15 zinauzwa Kigamboni Mkamba mbele ya Mwasonga. Bei sh. 4,000,000/= kwa heka na mazungumzo yapo. Eneo liko tambarare halijai maji, mchanga wa ujenzi upo kwenye eneo na huduma za kijamii haziko mbali.
Eneo linakatwa pia kwa kulingana na mahitaji ya mnunuzi. Mwenye uhitaji anaweza kuja Pm.
Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom