Wakuu,
Nakaribisha maombi ya wadau wanaoomba kuandikiwa bank proposals, project proposals, business plan, business idea na ushauri wa kibiashara katika sekta za kilimo, afya, mazingira na ufugaji...
Wakuu Nina mpango wa kuishi hemani, sioni maana ya kujenga nyumba isiyohamishika nimekata shauri ninunue hema niishi humo.
Kwa kwenye kujua bei zake na yanapouzwa msaada Tafadhali
Sent using...
Poleni kwa majukumu wana JF wenzangu.
Naomba mnijulishe aina nzuri ya matairi ya gari na mahali ninapoweza kuyapata lakini yasiwe mojawapo ya brands zifuatazo: Bridgestone, BF Goodrich, Dunlop...
Kiwanja kinauzwa dodoma mjini kimepimwa na kina hati,eneo km za mraba 608 kipo st john kwa mbele chinangali west, huduma za kijamii zipo na mji umejengeka mawasiliano 0karibu bei maelewano
Nahitaji Kiwanja cha makazi kiwe kikubwa cha kujenga nyumba kubwa hata mbili na kuzungusha fensi, bara bara ifike kwenye eneo, Kisiwe karibu na Msikiti. Maeneo Mbezi ya kimara, Makabe yatapewa...
Wasalaam wakuu
1.Eneo hili liko nala kibaoni dodoma mjini
2.Eneo liko umbali wa kama kilomita 11/12 toka town centre
3.Eneo liko karibu kabisa na makazi
4.Eneo lina hati ya serekali ya...
TOYOTA KLUGER
Year : 2004
Engine capacity :2360
Drive : 2wd
Mileage :136000 km
Gharama kamili : Tzs20.7million
Call / whatsapp : 0652310631
GARI ZETU NI ZA KUAGIZA KUTOKA JAPAN NA HIYO NDIO...
Gari imetembea km 63000,, haijawai kupata ajali,unaruhusiwa kuja na fundi wako kuikagua, leather seats ndan na sababu ya kuuza ni kwamba nataka kubadilisha gari na price yake ni 12.5 fixed.
jaman nina kanga wa kufugwa 300 nataka kuleta dar soko naweza pata bei yangu ni 20,000/=@1 naombeni msaada jamani [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado siku 4 tu kuanza semina na bado siku 3 kulipia kujiunga na semina..
Baaddhi ya mada tutakazopitia ni pamoja na
1. Jinsi ya kupata wazo bora la biashara
2. Jinsi ya kutengeneza mpango...
Hi JF members, kwa upande wangu nauza asali, ninazo pipa kama 12 hivi, asali imeshafika iko hapa hapa Dar es salaam. Kama cha chini nikuanzia dumu la lita 20, hivyo basi mwenye uhitaji awasiliane...
Ndugu wana JF naomba tusaidiane jinsi yakupata mashine za Alizet, kwaajili ya Kiwanda kidogo. I need complete machine nagharama zake. Tafadhali kwa anaejua anisaidie, ushaur pia ruksa
Sent using...