Duh,Square km 608
Kiwanja kinauzwa.Dodoma mjini,kimepimwa na kina hati,eneo km za mraba 608..kipo st john kwa mbele chinangali West,huduma za kijamii zipo na mji umejengeka ....
Mwasiliano 0689137585 au 0767058989..karibu bei maelewano

Square km 608
Anauza kata nzima huyu ndugu hahahaaaaa hawa ndo wahujumu uchumi.Duh,
Yaani tuseme Km 30.4 x km 20,
Kwamba Urefu mmoja ni sawa na Ubungo Mataa- Kibaha Maili Moja,
Na upana wa kiwanja ni sawa na Ubungo Mataa- Kiluvya