Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau msaada Gari ya shamba ya mizigo kuanzia tan 3.5
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Masomo ya Pre - form one yameanza kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba. Wazazi na walezi mnatangaziwa kuwaandikisha watoto wenu kituoni kwetu, EBENEZA ACADEMY. Pia, Tunafundisha wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sifa za Nyumba:- Nyumba ina Ofa Plot No. 104 Block-DD Nyumba ina vyumba vitatu na sebule tatu Ina Maji Sifa za kiwanja:- High Density Measuring 684 Square Meters Eneo liko karibu na barabara...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Husikana na Headline naomba msaada kwa wataalamu wa masuala ya pikipiki na matumizi yake Je ni pikipiki gani inafaa kwa matumizi ya kazi (boda boda), maeneo ya mjini? Na kwasababu gani iwe aina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
...when people tell you that #Oriflame doesn't work, tell them that:- - Yes, you are right, the company does not work, "ITS YOU WHO MUST WORK". - And secondary, ask them, "why does it work for...
0 Reactions
3 Replies
568 Views
[emoji837]LIMITED TIME OFFER [emoji837] Biggest Website Design OFFER!! accompanied with great services[emoji106] to grow your business online[emoji817] Contact us now W: www.pixedon.co.tz (LINK ON...
1 Reactions
0 Replies
940 Views
Jiko dogo la gesi kampun ya mihan linauzwa pamoja na ges yake. Bei 55000 If your interested call 0716590309
0 Reactions
1 Replies
6K Views
habari za majukumu wadau wa JF. Nauza kitanda cha mninga 5*6 na godoro lake nchi 8, vyote vimetumika miezi mitano tu..... nipo Dar tmk mtongani phone no: 0715253904 au 0744774462. Karibuni sana...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
...Bei inapungua sana SOLD ALREADY
2 Reactions
5 Replies
8K Views
Storage - 32 GB. CPU - 2.5 Ghz Quad core. System on chip - Qualcomm Snapdragon. Memory - 3 GB. Camera - 13 mp. Android 6 Marshmallow. Network - 4g Used 6 months. Bei . Tshs 210000. 0763252928.
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau nimeibiwa simu yangu ya techno cx, ina nyaraka zangu za muhimu sana, kama kuna yoyote ataweza kunisaidia kuipata simu hiyo natoa zawadi tajwa hapo juu, imeibiwa maeneo ya magomeni dsm. Ni pm...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Karibuni upate router ndogo ambayo uta connect watu 10 kwa sh laki moja ikija na offer ya 30GB ya mtandao wa tigo kila mwezi 10gb kwa miezi 3. Piga no 0715387684 mikoani tunatuma pia ukiitaji
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau naulizia bei ya mayai ya kuku wa kisasa na aliyekuwa naye tafadhali Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari, mayai ya mbegu ya kuku chotara yanapatikana Mwanza, bei Tsh 15000 kwa tray. Wasiliana nami 0767659145, 0787659145
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mradi upo kwenye Kiwanja cha 1600 sqm,maji na umeme Wa solar upo,ulinzi na usalama ni mzuri pia.kwa mawasiliano zaidi piga+255627800800 na 0756661761.asante.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa tegeta masaiti,vyumba viwili vya ndani,sebule na dining na servant quarter ya vyumba viwili nje.maji na umeme upo,plus ina faida nyingine ya kukodi hii nyumba kwasababu ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza machine yangu ya kunyonyolea manyoa ya kuku wa sina zote.inanyonyoa kuku 4 kwa sekunde chache na haitumi umeme mkubwa.iko very effective kwa wajasiri ya Mali katika ufugaji kuku inawafaa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mambo vipi wanajamvi, Naomba kujua lilipo soko la asali kwa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na bei zake nikitaka kuuza jumla jumla. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina CD ya fifa 2016 ps4 Ipo vizuri. 0788622610
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…