Natafuta Soko la asali Dar

Natafuta Soko la asali Dar

black dude

New Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Mambo vipi wanajamvi,

Naomba kujua lilipo soko la asali kwa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na bei zake nikitaka kuuza jumla jumla.

Msaada tafadhali
 
Mambo vipi wanajamvi.
Naomba kujua lilipo soko la asali kkwa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na bei zake nikitaka kuuza jumla jumla.
Msaada tafadhali
 
soko zuri na watumiaji ni wengi, ingawa wauzaji nao wamekuwa wengi siku hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom