Nauza pikipiki aina ya Boxer
MC 662 BMC Rangi yake (Black)
Bei yake ni 1400,000 Tsh.
(Milion moja na laki nne)
*Ina vibali vyote kadi pamoja na bima.
*imetumika miezi tisa kwa matumizi...
Make : Toyota
Model : Coaster
Mileage : 317,503km
Engine size: 4,160cc
Gasoline : Diesel
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Manual
M/Year : 2000
Doors : 2
Seats : 29...
Specifications
Core i3,,procesor 2gb,,ram 8gb HDD 1tera,,,hp product
Bei 500,000/=
Imetumika kwa muda mfupi, iko ktk hali nzuri.
Napatikana Dar, alie tayari ni PM.
Habar wakuu.
Nahitaj kununua UPS ya computer pamoja na stabilizer ila sijajua mahali naweza ipata kwa urahisi hapa dar es salaam.
Pia nikijua na bei zake itakuwa vizuru sana.
Nawasilisha...
Salaam wakuu ninahitaji chumba single cha kupanga kwa ajili ya kukaa mwanafunzi maeneo ya kimara korogwe au kimara-mwendokasi kisichozidi 40,000/- kwa mwezi.
Kianzio 120,000/-
Ndugu zangu,
Ninaimani kuwa hamjambo,
Kwa miaka mingi sana tangu soka kuanza ubashiri wa matokeo umekuwa uleule, kwa makampuni yote duniani, binafsi nimekaa na kuunda formula tatu, ambazo ni kwa...
Nauza Car seat nzuri ya blue second hand ingawa haijatumika bado ina hali ya upya.ni imara na in good condition.
Bei tzs 190,000.karibuni kwa picha 0786 057996 or call 0756661761 nimejaribu Ku...
Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums,
Nauza mahindi mabichi (gobo) heka moja. Hivyo nahitaji mnunuzi tafadhali, Shamba lipo Mlandizi bonde la Mtoruvu, maarufu kama Kivukoni kwa Mpili.
Mwenye...
Habari zenu wana janvi. Jaman kama kuna mfanyabiashara humu ndani naomba anisaisie ivi viatu bei ya viatu being gani? Huku kwetu Mbeya reja reja vinauzwa7000. Sasa nahitahitaji kujua being take ya...
Husika na kichwa cha habari hapo juu nauza Simu tajwa hapo juu Simu ni sawa na mpya kabisa kwani imetumika miezi 3 tu na sababu ya kuuza ni sababu za kiuchumi Simu ina charger Yake original,ina...
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver
Kuanzia SAA 5asbh
Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh
Au weka oder kupitia 0713691101 24/7
280,000 tshs
Set ni 3*2*1*1
Freely door to door
Karibuni
Mimi nina biashara yangu ya asali mbichi kwa yeyote mwenye uhitaji anitafute kupitia hii namba 0654553163 napatikana Dar es Salaam. Nauza kwa liter na jumla bei rahisi tuwasiliane.
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver ya cover sofa set
Kuanzia SAA 5asbh
Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh
Au weka oder kupitia 0713691101 iko hewani 24/7 pia kwa picha zaidi njoo...
Habari wakuu,katika utafiti mzito nilichogundua hili jukwaa ni la madalali watu janja janja ukikaa kizembe utakuta mwana si wako yani mtu anakudalalia ukiwa macho duuuh asalale viongozi hii ni...