Tunadeal na kutoa google account au FRP lock pia network lock kama simu yako inatumia aina moja ya mtandao pia tunarepair network tunatoa virus kwa zile simu ambazo zinajidownload program na...
Habarini za asubuhi wanajamvi, ni matumaini yangu nyote mmeamka salama.
Bila kuwachosha ningependa kuomba msaada kwa mtu yoyote anayefahamu sehemu ambayo wananunua na kuuza vitu used vya...
Ili usisumbuke tena, simu yako isijae kwa app nyingi hadi ianze kuwa slow, App hii apa!, ni mwisho wa matatizo, utapata 1.Blogu zote, 2.Redio Zote ,3. Tovuti zote kubwa 4.Mitandao ya kijamii...
Husika na kichwa hapo juu,
Mimi ni mwanafunz mwaka wa kwanza,naishi geto,,sasa mwenye Godoro safi(nimelenga wanaomaliza chuo) anichek direct,Bajet njoo tuyajenge,
0659319763
0625697394.
Naitwa Shaban Rajab kutokea Tegeta Madale ninauza mayai ya kienyeji
kwa bei ya 14,000/= kwa tray. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0769345032 au 0754250816 ahsanteni
Habari zenu??nauza simu ya tochi used haina ufa elfu 35 ina camera ni halotel,kama upo tayari ni pm.
pia nauza screen touch ni itel used elfu 50 kama upo tayari ni pm.
Tunanunua asali kwa bei ya jumla sisi ni wanunuzi tunaonunua asali kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote tanzania. Kwa sasa tunanunua kuanzia lita ishirini mpaka lita mia moja kwa mkupuo vijana...
Huku Chanika Omboza, Kidugalo na Singiziwa jirani na hospitali mashamba yanauzwa kuanzia mil.4 mpaka 13 kuna umeme na barabara zinapitika. Pia nyumba inauzwa mil.9
Nipigie.0768412181/0655412181
Hello habari zenu,
Naitwa zamzam dachi naishi mtoni kwa azizi (TEMEKE) ni mjasiliamali wa kudising sandoz za culture NAPATKANA KWA NAMBA YA SIMU 0719 818147/0687365045
Fursa fursa fursa...
Nauza vifaa vifuatavyo vya laptop
1.Hard disk 160GB sata,Tsh 25000/=
2.Adapter ya laptop aina ya DELL,Tsh 20000/=
3.Ram 1GB DDR2,Tsh 15000/=
4.Betri la laptop aina ya DELL inakaa na chaji kwa...
Unahitaji kufundishwa masomo tajwa hapo juu kama form Six/four reseater, or private candidate.
Location; kigamboni au around kigamboni
Njoo ukae meza moja na mwalimu upate usaidizi wa ziada.
Mambo vp bandugu kwa wale wanaopenda kutumia mb kupata hela online follow link hii kisha nenda sehemu ya registration then jisajili na uanze kucheza na kufata maelekezo ni rahisi unatumia mb tu na...