Tunaprint t-shirt

Tunaprint t-shirt

jussine

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
36
Reaction score
16
Tupo dodoma.
Mawasiliano ni

0757877963

0718877410

8ed066e7d106a43d90293b10f90aae52.jpg
0cedfafeabac5bef8d6ae42c07dfe30b.jpg
 
Mkuu hii biashara mtaji unaohitahitajika kwa kuanzia ni kama sh ngapi nataka niijaribu hapa mbeya
 
Mna print logo ninayoitaka mimi au mnazo zenu mimi nafanya kuchagua tu
 
Mna print logo ninayoitaka mimi au mnazo zenu mimi nafanya kuchagua tu
Logo unayoihitaji mwenyewe mkuu. Tunapenda upate kitu unachokihiitaji mwenyewe. Japo zipo logo zetu na kama unayo yako tunakuundia tu
 
Mkuu hii biashara mtaji unaohitahitajika kwa kuanzia ni kama sh ngapi nataka niijaribu hapa mbeya
Gharama nikama 3.5M

Japo kama utaweza kwakutumia local material gharama ninafuu japo itakucost muda
 
Gharama nikama 3.5M

Japo kama utaweza kwakutumia local material gharama ninafuu japo itakucost muda

Mkuu hebu ningeomba mchanganuo wa hiyo 3.5M ni bei ya machine tu. Au ukijumuisha na mambo mengine...?
 
Bei gani nikitumia tsht zako ..naweka logo ndogo kifuani na mgongoni +websites?
 
Naomba kujua gharama za heat press machine mdau na zinapatikana wapi kwa hapa bongo?
 
Bei gani nikitumia tsht zako ..naweka logo ndogo kifuani na mgongoni +websites?
Ukija na t-shirt zako bei ni 5000/=
Lakini t shirt zikiwa nyingi zaidi ya kumi tunaweza kukufanyia kwa 4000.
 
Naomba kujua gharama za heat press machine mdau na zinapatikana wapi kwa hapa bongo?
Oky. Mchanganuo ni kama hivi.
Printing machine zinapatikana kariakoo. Kuanzia 2.2m nakuendelea kulingana na ukubwa wa machine. Lazima uwe na computer.
Rangi pia na vifaa vingine vya uchoraji. Pia lazima ujue kuchora maana kuna logo zingine hazikubali machine inapidi uweze kuziandaa. Pia kuna mbinu za kuchanganya rangi. Maana ukikosea tu utashangaa mtu akifua zinafutika. Niutaalam kidogo. Karbu dom kwa mafunzo zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom