Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu umundani,tunauza Viwanja maeneo ya Mbagala dar es salaam Kata ya chamazi,mbande mipeko kwa Shilingi milioni mbili na nusu(2.5) tu. Na kwa hekari moja ni Shilingi milioni18 tu. Unaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bidhaa mpya Six pack care Mashine ambayo ni mult functional utafanya mazoezi ya mwili mzima kupitia kifaa hiki ukiwa nyumbani Kwasasa vipo kwenye promotion kutoka 350,000 mpaka 300,000 Wasiliana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu,ninauza simu yangu haina tatizo lolote nimekwama tu baadhi ya mambo ndiyo nataka niuze. Ipo katika hali nzuri Bei; Laki tatu (300,000) Mawasiliano ; 0624-052791 Nilipo ; Dar
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu,husika na kichwa cha habari hapo juu,Tunauza mifumo mbalimbali ya kiteknolojia(Software)inayotumia computer inayoweza kukusaidia kuhifadhi Taarifa za mauzo na usimamizi wa biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB, Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza,mm in mkaz was morogoro mjini ,natafuta eneo LA kuishi liwe na ukubwa was heka 3/mwenye nalo ani pm Liwe ndani ya Manispaa ya morogoro,nafikiria kufuga pia ktk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wapendwa naomba anayeuza sausage casing naomba unipm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Kwa yeyote mwenye line ya uwakala ya Tigo pesa na Airtel money naitaji nataka kununua,so aliyekuwa nayo ani PM Tafaadhali tufanye biashara….
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninahitaji Laptop Yenye HD 500 au zaidi CO i 3 au zaidi... Anayeuza kutoka dukani Nimuungishe...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo Kwanza iwe inatumia Window,Size iwe na GB 250 betri nzuri hata uwezo wa kukaa na chaji masaa sita,RAM angalau GB 4,CPU iwe Pentium Intel, keyboard...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hey guys natafuta laptop yoyote ya bei ndogo Sana......sijali kuhusu specs....ili mradi ni nzima. Unayo nicheki fasta 0685369349. Budget 150k
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Dressing table table hii hapa chini inauzwa bei poa kabisa. Ni used ila inauzwa kwa sababu tu binafsi. Bei take ni 200,000 ila punguzo lipo tu. Napatikana Temeke Dar es salaam. Ukihitaji...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Get house map with it's model designe , remember we build house in low coast and we provide a special knowledge obout house building. contact: 0763269695
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Bei Million 21 kwa kila HEKA MOJA , zipo katika Town plan, Nauli ni 500 tu kutoka bunju hadi mapinga... Zimepimwa na zina offer, Ni meter 300 adi 500m kutoka barabarani. Zipo upande wa...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Iko nyuma ya mwananyamala hospital,eneo tulivu ulinzi wa kutosha ina room moja,sitting room,jiko,choo na bafu iko ndani!luku ya kujitegemea,maji Yapo ya kumwaga kodi inalipa miezi sita ambayo kwa...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Wadau wa ujenzi, natafuta kiwanja kinachouzwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni maeneo ya mabwepande kama kuna mtu anahafahamu anishtue nahitaji low density area.
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Mashine ipo sokoni wadau tafadhali kama utaiihitaji tuwasiliane kwenye nitakutumia picha zaidi na maelewano Call: +255788822242
0 Reactions
15 Replies
3K Views
hebu tuwasiliane hapa kwa ajili ya line za tigo pesa. bei ni ndogo tu Tsh 350,000/= kwa mawasiliano zaidi piga number uwasiliane na huyu jamaa 0684160222.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Over 25 years of experience. It is all about corrosion protection of buried and underwater steel pipelines, buried and above ground storage tanks,piles and other offshore structures.Our services...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…