Hello ,
Nauza Toyota porte Bei ni Milioni 5.5
Sio dalali ni mmiliki so tunaweza zungumza kidogo kwenye bei
Location : DSM Msongola
Colour : Silver
Engine size : 1450 cc
Reg : DES
Engine ,gear...
Habari
Kwa wale wote WENYE ndoto za kumiliki GARI aina ya Mazda VERISSA tukutane hapa
Lengo la kufungua Uzi huu ni kuweza kuweka magari yote aina ya Mazda VERISSA yaliyoko sokoni ambayo unaweza...
Reference Number:24254132357
Make:VOLKSWAGEN
Model:TOUAREG
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2014
Country:GERMANY
Fuel Type:DIESEL
Engine Capacity:2501 CC & above
Price 65M
Habari wanajamii,
Natafuta kampuni au hardware wanaoweza kununua nondo kutoka kwenye kiwanda chetu kipya kilichopo kibaha kwa sasa tunazalisha Bs 500 kuanzia size 8mm-32m,karibuni sana tufanye...
⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️
(Umoja wa Madereva Tipa Dodoma)
🚛 Unamiliki Lori la TIPA?
Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamie kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila...
NYUMBA INAUZWA MILIONI 19
CHANIKA ZINGIZIWA
WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM
ENEO: SQM 300 LESSEN YA S|MTAA
PHONE 0743 257 669 WHATSAPP
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""...
Habari
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kutangaza magari ya Toyota harrier models zote huku nikijunuisha na gharama zote kama vile Kodi za tra nk
Hii itamrahisishia mtu anayetaka kununua gari aina...
Heshima yenu wana Jamvi.
Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote.
Router hii ina sifa zifuatazo
Inaingiza line zote
Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo...
Habari Wana Jamiiforums!
Kama wewe ni mwanafunzi, mfanyabiashara, blogger, YouTuber, au mtu yeyote wa kawaida anayehitaji msaada wa haraka na bora katika kazi za maandishi na content. Usihangaike...
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911
Price: Tsh 150 Million (Fixed).
Document: Clean...
Nyumba inauzwa
iko bunju nyuma ya bank ya crdb na nbc
Nyumba ya 3 kutoka lami kubwa ya bagamoyo
Nyumba kiwanja sqm 700 eneo kubwa sana
Nyumba inavyumba 3 na 2 vina choo ndani
Nyumba...
Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba...
Wale mlikokuwa mnahitaji container Kwa bei nafuu zaidi sasa imebaki moja
Utapata Kwa 3.6 mil
Kuna hii tu nyingine bei zake zipo juu kidogo.
Tupo kurasini DSM
Call and WhatsApp 0625 085 224
Habari
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo maalum la kufanya TATHIMINI Kwa pamoja ktk magari used yanayotoka nje ya nchi katika Kodi za TRA pekee,
Bei halisi za magari nitazitoa katika official website...
Wapi naweza kupata viti vya plastic kwa bei ya jumla.. either kutoka kwa supplier au manufacturer.
Nataka kwa ajili ya kufanya biashara ya kukodisha vitu, kwenye shughuli mbali mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.