House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Kongowe million 98

House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Kongowe million 98

Ghost.js

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
188
Reaction score
347
Nyumba ya kisasa inauzwa Kibaha Kongowe
Vyumba vitatu vyote masta
Seble
Dinning
Jiko&stoo
Public toilet
Ipo ndani ya fensi
Eneo ni sqm 882(mita 21×42)
Kilomita 1 toka stendi
Bei million 98
Kupelekwa site ni 30k
0744757738
0784376888

IMG-20250425-WA0010.jpg
IMG-20250425-WA0007.jpg
IMG-20250425-WA0011.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250425-WA0008.jpg
    IMG-20250425-WA0008.jpg
    200 KB · Views: 36
  • IMG-20250425-WA0009.jpg
    IMG-20250425-WA0009.jpg
    126.4 KB · Views: 39
  • IMG-20250425-WA0011.jpg
    IMG-20250425-WA0011.jpg
    136.7 KB · Views: 36
Nyumba za kisasa za kibongo (za madalali) duh, maswali mengi bila majibu...
 
Nyumba ya kisasa inauzwa Kibaha Kongowe
Vyumba vitatu vyote masta
Seble
Dinning
Jiko&stoo
Public toilet
Ipo ndani ya fensi
Eneo ni sqm 882(mita 21×42)
Kilomita 1 toka stendi
Bei million 98
Kupelekwa site ni 30k
0744757738
0784376888
Vipi una watoto wengi unasomesha nini ? Heti kupelekwa site elfu 30, unajipangia tu bei, mbona wewe umeshindwa kuipata hiyo 30K na maisha haya yalivyokuwa magumu.
 
Vipi una watoto wengi unasomesha nini ? Heti kupelekwa site elfu 30, unajipangia tu bei, mbona wewe umeshindwa kuipata hiyo 30K na maisha haya yalivyokuwa magumu.
Nimeweka hvyo ili msije nyie ambao hamna hela ya kununua, mnaleta usumbufu tu
 
Mkuu acha utani basi kiongozi. Nyumba ya 98m iko wapi? Hiyo nyumba haizidi 50m.
 
Ukipewa million 50 unaifikisha nyumba hapo kweli boss?
Vizuri sana. Hiyo nyumba hadi kupaua bati la msouth migongo mipana haizidi 20m, finishing iliyopigwa hapo ni ya kawaida sana haizidi 25m. 50m inamaliza kila kitu na nabakia na hela ya supu.
 
Ukinunua nyumba kama hii kwa million 100 huko shamba usimuambie mtu kufa nalo moyoni
 
Vizuri sana. Hiyo nyumba hadi kupaua bati la msouth migongo mipana haizidi 20m, finishing iliyopigwa hapo ni ya kawaida sana haizidi 25m. 50m inamaliza kila kitu na nabakia na hela ya supu.
Tuoneshe yako kwanza tujue umejengaje
 
Nyumba ya kisasa inauzwa Kibaha Kongowe
Vyumba vitatu vyote masta
Seble
Dinning
Jiko&stoo
Public toilet
Ipo ndani ya fensi
Eneo ni sqm 882(mita 21×42)
Kilomita 1 toka stendi
Bei million 98
Kupelekwa site ni 30k
0744757738
0784376888

View attachment 3315407View attachment 3315410View attachment 3315411
Hii itakuja kununuliwa kwa around ya m30-45. Tunza hii coment yangu.Nadhani wengi hawajui thamani halisi ya properties zao.hizo ni bei za kinyerezi au goba kwa ubora na aina ya nyumba kama hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom