Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

naitaji screen hp250 g4 used kuna mtu mwenywe nayo au hata mpya lakni price iwe kdg ya kushikika.. hit me up 0716978190
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Pata bando dk 600 mitandao yote+3000sms+3GB mwezi mzima sh elfu 30 ( 0715387684)popote ulipo unapata
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Natafuta was enyeji wa mikoa ya shinyanga singida Dodoma n morogoro. Ambao tunaweza Fanya biashara ya samaki kwa uaminifu...ambaye sio mbabaishaji anicheki kwa namb 0688644047 all the best
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninauza simu aina ya Tecno W4. Ninapatikana Mwanza Nyegezi. Kwa anayeihitaji anipigie kwa namba 0767151519. Bei ni 160K. Mazungumzo yapo.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Iwe tecno budget yang ni 100k
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nnatafuta soko la asali mbichi ya nyuki wakubwa.nauza sh180000/= kwa dumu la lita 20. Nina madumu 30 na bado nina uwezo wa kupata mengine kama yanahitajika. Kwa anayelifahamu soko tafadhali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung earphonewireless na normal mousemodem inacatch hotspotusb za iphone Kama unahitaji niinbox or nicheki whatsup and telegram kupitia 0769509430
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mazhim Tanzania limited is a Registered company with reg no 95507 Incorporation Date 28th November 2012 Place of registration Dar es salaam, Tanzania Postal Address P.O Box 62279, Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya mastech IT solution inatoa ofa ya kutengeneza website kwa bei nafuu security ipo juu sana tunatumia firmwork za kisasa zaidi kama laravel pia tunatoa huduma za computer maintainance and...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Habar, napenda kujaribu biashara hii ya dagaa wakavu kwa hapa mbeya, mwenye kuuza kwa jumla, ama kunipa utaratibu wa biashara hii, anipe mwongozo tafadhari
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking. Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000...
5 Reactions
116 Replies
41K Views
Natafuta Sandals og za kimasai au ktoka Mombasa aliyepo dar ,bei ya jumla ...znazofanana na pic hixo...ntumie pic watsap +27738726242.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
50,000 per month * 6 months. kipo Gongolamboto,ulongoni A kwa Celtel self room,maji free 24 hours,umeme luku wapangaji watatu. chumba kiko katika hali nzuri sana. wapangaji wasela watapewa...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Habari wakuu, Nina coins kadhaa za euro 2, nimejaribu kwenye haya maduka ya bureau de change wameniambia hawabadili coins wao ni note tu. Kwa wajuzi wa mambo ni wapi naweza kuzibadili na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jipatie madera yenye mitandio mikubwa kutoka Mombasa Nichek 0678361222
2 Reactions
7 Replies
6K Views
DM ni chaguo sahihi kwa ajili yako..tunajishughulisha na skimming na rangi mbalimbali kwa gharama nafuu...tunatoa pia ushauri kwa mteja kutokana na mazingira ya nyumba yake pale atakapo hitaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Kuna anae jua bei ya mti ulio komaa kabisa vizuri kwa jili yaku chana mbao? Lets say mti una miaka 7-9 hivi. 2. Je mti wa aina hio ya ukomavu au basi kwa kawaida mti ulio komaa vizuri kabisa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama uzi unavyojieleza ninawatafuta marafiki wa kudumu tukutane tushirikiane katika masuala mbali mbali katika kada ya ujasiriamali katika kujikomboa kutoka tulipo hadi kufikia kumiliki mamilion...
6 Reactions
71 Replies
48K Views
Kama unauza shamba katika maeneo haya njoo inbox tumalizane, Bagamoyo, Mkuranga, Vikindu, Chalinze, Kibaha, Kongowe Nahitaji heka kadhaa..
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!! Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…