Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habari, Natafuta PC Dell Vostro, iwe angalau na RAM 4GB, HDD 500GB, processor 2.5+. Iwe ya mtumba, used! Nipo Dodoma, kwa mawasiliano mwenye nayo na anauza, tuwasiliane kwa namba 0759947397.
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Tuna design matangazo kwa bei poa mnoo yaani shilling elfu mbili tu kwa kila tangazo wahi sasa ofa hii ni chache yaani elfu mbili yako tu jipatie tangazo lako kwa biashara yako piga number 0743401394
1 Reactions
2 Replies
985 Views
Mahindi yanauzwa tan10 yapo gongo la mboto MNUNUAJI serious +255676019019 WhatsApp +255764845585 calling
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Simu imetumika miezi 3 Utapewa charger yake Risiti zipo Haina tatizo lolote, Ipo Ubungo Dar es Salaam Bei ya kuanzia ni 110,000 Ukihitaji njoo 0755155782
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Kuna Rafiki yangu amenambia nimtafutie Mteja Wa Shamba anazo eka 15 na kila eka anauza kwa laki sita 600,000/=(@) shamba lipo barabara ya Bagamoyo msata sehemu inaitwa Fukasayo, kwa maelezo yake...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina mzigo wa pweza nina leta dar es salaam toka msumbuji Kilo ninauza 9000tsh per kg +255676019019 WhatsApp +255764845585 Asante sana
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wajasiriamaki wenzangu.. Nahitaji kufanya biashara ya kuuza nguo za baridi, nitazipata wapi? Mie nipo njombe msaafa tafadhali.
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Kunashamba la ekari mbili makurunge. Kandokando ya barabara iendayo saadani bei 5.5m Nipigie 0716548250.
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Kunashamba la ekari mbili makurunge. Kandokando ya barabara iendayo saadani bei 5.5m Nipigie tuongee 0716548250
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!! Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Malawi) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Nina mzigo wa pweza nina leta dar es salaam toka msumbuji Kilo ninauza 9000tsh per kg +255676019019 WhatsApp +255764845585 Asante sana
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Ninauza kiwanja chenye ukubwa Wa (14*28)M kina ramani yenye barabara nguzo ya umeme IPO katika mpaka Wa kiwanja na maji ya chumvi laini yapo Jirani kabisa kuvuta haizidi mita 5 bei ya kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Nahitaji laptop ambayo iko kwenye hali nzuri, budget yangu ni shida laki 3 tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji hiyo simu tajwa mwenye nayo anicheki.0754 604567
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Salamu,mwenye biashara ya kahawa kuna wageni wangu wanahitaji tani 20 za Arabica grade A ama AA tafadhali tuwasiliane kwa 0742666736
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Heshima kwenu Wote! Nilileta uzi hapa kuwa natafuta nyumba ya kununua Tanga mjini, nimepata ila kuna nyumba nyingine mwenye nyumba ameniomba niiitangaze hapa kuwa inauzwa. Sifa za nyumba. Ina...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
habari wadau. nahitaji fridge mpya double door kwa matumizi ya nyumbani. nasubiri ofa zenu. napatikana dar. picha ni muhimu, pia kama kuna mtu mwenye ushauri au wap naweza pata fridge kwa bei...
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Anaeuza kitanda na Godoro Fut 5*6 anicheki Pm..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu.Mimi nipo mbeya.Ninauliza kama kuna yeyote anayejua sehemu wanayouza majenereta ya umeme hapa mbeya.Nataka nipate jenereta jipya kwa ajili ya shughuli zangu mgao wa umeme...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Hello! I have 500k, find for that particular phone,
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…