Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari aina ya IST inahitajika. Iwe na hali nzuri, namba D itapendeza zaidi. Bajeti ni 7M top. Kama unayo sema faster nikucash.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Pata suluhisho la changamoto unazopata katika biashara ya tofari( block cement) kwa kupitia uzi huu utapata majibu ya maswali yafuatayo: MASOKO,NJIA BORA YA UZALISHAJI ,VIPIMO SAHIHI,MITAJI...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
TOYOTA PREMIO Year: 2002 Km: 57300 Cc: 1790 Bei : 11,500,000 Mawasiliano 0717760515
3 Reactions
69 Replies
13K Views
Nahitaji milango 11 ya mti wa mkongo hapa DSM. Mafundi wanaohusika nipeni bei kwa milango hiyo 11. Ueleze unapatikana wapi na namba ya simu.
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Nina mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma anayejua soko au mhitaj naomba anijulishe Kwa mawasiliano 0713879793/0766532505
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mashamba! Mashamba! Mashamba yapo Bagamoyo, Msata na Chalinze. Bei ni kuanzia tsh 450,000 kwa ekari. Tunauza kuanzia ekari 1. Nb: ukihitaji hati ya shamba lako utashughulikiwa pia. Wasiliana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauza kitabu hichi, kitakacho kusaidia na kukupa mbinu za kujisambaza kimatangazo na kufikia watu wengi zaidi ndani ya muda mfupi. Pia utakuwa na haki ya kukiuza, baada ya kukinunua. Bei: 5,000...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Natafuta muuzaji wa jumla wa simu aina ya Iphone please.
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Atakayehitaji tuwasiliane 0713879793 /0766532505
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mchanganyiko wa matunda, tangawizi, vitunguu swaumu, vinegar....inapatikana ktk ujazo tofauti. Watu wa bar, restaurant, BabaQ n.k naweza kukuwekea ktk ujazo kulingana na maitaji yako...
6 Reactions
69 Replies
19K Views
nauza dawa za ukungu kwenye mazao inaitwa melthane super, mult power. kwa mawasiliano zaidi piga no. 0759106074
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WAHI OFA YAKO KABLA HAIJAISHA Habari wana kikundi, sisi tunaitwa Tawa Water Proffesional ni wachimbaji wa visima vya maji iwe kwa ajili ya umwagiliaji mashambani au kwa matumizi ya kawaida...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ninashamba langu heka kumi Tanga ili niwekeze kama unahitaji tuwasiliana kwa nambari 0717359516
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Kampuni iliyosajiliwa ya kuuza mafuta (diesel, petrol, etc.) inauzwa. Kwa taarifa zaidi ni pm.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu! Husika na kichwa cha habari hapo juu,natafuta Mtu mwenye projector,tuelewane anikodishie kuna kazi nataka kuifanyia lakini iwe bei nzuri, Kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
.
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Salam wakuu, Naomba tuambiane nani actor/actress wako bora hasahasa kutoka Hollywood. Mi naanza na hawa wangu; 1.Danzel Washington 2.Mark Wahlberg 3.Leornado Di Caprio Tiririka wako
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Mashine ya Popcorn inauzwa inatumia solar power bei ni Tshs 1,250,000 , kwa anaehitaj tuwasiliane 0789885802
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Ndugu zangu nafanya Kazi katika kampuni ya AKM Glitters Company LTD inashugulika na utengenezaji was chakula cha kuku na utotoleshji wa kuku wa chotara. Chakula chetu kinaitwa Feedpro na being...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…