Habari zenu waungwana,
Naomba kujulishwa bei ya viti vya wagonjwa. Kiti kimoja kinauzwa kwa pesa ngapi za Tanzania kwa anayejuwa naomba anijulishe. Naomba msiuhamishe huu uzi kwani nahitaji...
Dear Sir / Madam, Good Evening,
PRETTL energy is a German company at more than 35 locations in over 25 countries in fully independent operations.
We are currently looking for a business...
Wakuu mambo vipi
Natafuta wale watu ambao huwa wanafanya kazi za kupulizia dawa ya kukausha magugu shambani
Nina shamba kama la hekari tatu naitaji hiyo huduma
Kama kuna mtu anajua then anipm
Kwa wale wadau wetu wa mikoani...dar shinyanga.morogoro singida...napenda kuwataarifu MZIGO wa samaki(sangara) wanapatikana kwa bei nzuri kabisa ya 5300 kwa kilo. Weka oder yako sasa MZIGO...
Huhitaji kubadili tiles au sinki lako kisa uchafu sugu. Kiboko ya kusafisha na kung'arisha marumaru, pamoja na masinki ya aina yote ni CORE CLEANING. Jipatie bidhaa ya core cleaning yenye ujazo...
Habari za mida hii wana jamii foroum
naitwa ZAMZAM M DACHI jina la kibiashara ig page ni zababy_dachi_leather ni mjasilia mali wa bidha za ngoz kama walet sandoz za culture na mikanda ya kina...
heri ya mwakampya wajasiriamali wenzangu make najua ndo sehemu yetu hii ya kukutana.
kama mada inavyosema hapo, mimi nina shida ya haraka sana na mzani mkubwa; wenye kupima kilo zaidi ya 100 na...
Natafuta Dereva, Dar es salaam.
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Kazi ni ya...
Wakubwa ,habarini za asubuhi,ninahitaji generator used la ukubwa wa 2 kvplz naombeni maelekezo kwa wakazi wa dar nitalipata wapi na bei zipoje?? Msaada tafadhari
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Simu ni NZIMA kabisa tatizo dogo lipo kwenye display ambapo kuna nyufa zinaonekana kwa mbali.
Wahi sasa kwa muuzaji makini.
Simu_0625518288 au...
kuna jamaa alileta uzi wake jana ana huduma ya 4gb kwa elfu tatu.Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu. jana ameniunganisha imekubali wakuu .ni kweli nunueni
nilimtumia namba japo...
Wadau nina shilingi laki moja na ninahitaji kitanda cha mbao size hiyo juu..kwa bei hiyo najua kitakuwa used maana kipya sitapata..
Lakini pia nahitaji dressing table kwa maana kuwa...
Baada ya Maamuzi ya Serikali Kuhamia Dodoma, Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma baada ya kutoa huduma Dar es Salaam. Akina dada na akina baba wanaohitaji kujiweka safi kuonekana vyema kunako...