Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mkoa :Arusha Number:0753093869 Bati:kigae cha mchanga cheusi Kampuni:Fortiza Zipo pc 64. Bei ya dukani ni 25,000. Mimi nauza vipya nimebakiza kwa nyumba yangu kwa bei ya Hasara 12000 kwa pc...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, -Kiwanja kipo kwa kimara mwisho kwa komba. -Kimepimwa ila bado kukabidhiwa hati. -kipo sehemu ya tambalale -Mita 20 kwa 25 -Bei Milion 12 -Maelewano yapo -0712595635
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampun yetu ya super sam ifanyayo safali zake za mwanza dar mwanza bukoba mwanza dodoma mwanza morogoro tunapenda kukuyangazia kuwa saiv tuna mabas mapya kabisa yafanyayo safali zake kama kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VUNJA BEI: BEI IMESHUKA:Ninauza Smartphones za kisasa, Originals tu kwa bei Poa, mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote zinakuwa mpyaaa na vifaa vyake, pia ni Guaranteed, kwasasa...
6 Reactions
739 Replies
98K Views
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk. Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
myShop Software ni mfumo maalumu kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa duka la jumla na rejareja, pharmacy, mini supermarket, saloon za kike na kiume, stationary, maduka ya nguo na viatu na maduka...
1 Reactions
0 Replies
766 Views
Hellow wana jf, Natafuta camera ya kununua ,My favorite ni Canon D 600,D 650 ,D 700 au Camera yeyote mzuri yenye uwezowa kupiga picha na kushoot video, pia iwe na sehemu ya kuchomeka MIC. Isiwe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari yenu wadau Samaan yoyote anaeuza camera mm nahitaj nina 700000tsh,kama ni 700d au 800d
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Je wewe ni mwalimu ama mwanafunzi na unatafuta mahali sahihi kupata notes za masomo yote ya Sekondari, tembelea www.sisinaelimu.com FORM THREE HISTORY, TOPIC NO 1: ESTABLISHMENT OF COLONIALISM...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habarini wakuu.. Ni matumaini yangu wote wazima. Kutokana vyuma kubana na mwenendo wa soko la sasaivi tofauti na wakale ambapo ushindani wa biashara ulikua mdogo sana..mimi na baba yangu tumeona...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Frame ya kisasa inapangishwa, ipo kijitonyama ,barabara ya kajenge karibu na sayansi, kodi ni laki moja na nusu kwa mwezi (150,000/= × 6 ), Kwa maelezo zaidi piga namba 0714264484
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu mwenye RAM isiwe ndogo sanaaa naomba tuongee Basi ili aniuzie
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Drop namba yako in box niku add kwa group turahisishe maisha lakini pia tufahamiane. Kumbuka baadhi yenu tayari nishawaunga Lakini pia mamkuki msijisumbue nawajua kwa sababu madalali idadi yenu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hp probook intel core i5@2.3GHz, hdd 500GB, ram 4GB, charge masaa 3. Bei ni 380000 na inapungua ..kama unahitaji nipigie 0653039966, na 0766996914
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Friji lilitumika kwa mwezi mmoja kwenye biashara ya duka. Baada ya hapo, likakaa Bila kutuma Na hakuna ndoto tena ya kufungua biashara ya vinywani. Friji liko DSM linafanya kazi vizuri sana. Bei...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Unalipia shamba maana sina uwezo wa kuleta mzigo Dar. Nataka buyer wa kuchukua kuanzia gunia 1,000 kwa wakati mmoja. Bei ni 70,000/= gunia. Tel No:0659818714
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina computer acer imekufa keyboard tuu Naiuza kwa 250k.. Mawasiliano 0718274828.. Nipo dar Kwa ambaye anataka nimuuzie kwa vifaa vyake anakaribishwa pia
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Umaridadi uficha mengi, nukia kijanja na perfume classic kwa bei ya kutupa, kwa perfume za jumla na rejareja kwa perfume zifuatazo nione DM au piga 0628964939...
3 Reactions
55 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…