Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Laptop model HP 635 inauzwa ,tatizo lake imeharibika graphic card lakini accessories zingine zipo vizuri Kama 2RAM zenye jumla ya 4GB ,hard disk ya 350 GB, fane rotate and CPU and screen work but...
0 Reactions
4 Replies
640 Views
Nahitaji desktop ya aina hiyo, iwe Dell au HP. Bei maelewano. Nipo DSM, simu no 0766714643
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu tangawizi iliyokomaa vizuri ipo Peramiho Songea kwa sasa ila kwa makubaliano inaweza kukufikia popote ulipo nchini Tanzania.Kama kuna mmnunuzi anayehitaji kuanzia tani 5 tuwasiliane PM.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Toyota fun cargo iko vizuuri inauzwa bei poa kabisa.. T 501 DDF iko kinondoni dar es salaam bei 6.3 0713799522 imekamilika na vibali vyote
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HabariSMS inakutelea taarifa za ZABUNI kiganjani mwako. Tuma SMS ukiandika aina ya zabuni unayoitaka mfano Goods, Works, Consultancy kwenda namba 0752881000.Huduma hii haina gharama yoyote.
0 Reactions
0 Replies
838 Views
95,000.Betri kubwa inakaa siku mbili na kuendelea,camera nzuri.Nakupa na charger yake.Haina shida katika utendaji kazi,ina nyufa kidogo kwenye screen. Niko Wazo,Tegeta.Nipigie 0714-6796778 au...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery Contact 0714417739 /0763251378 Jiko rangi ni white na...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery Price :140000 0714417739 /0763251378
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunapatikana Kariakoo Msimbazi na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery. Contact: 0714417739 /0763251378
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tunapatikana Kariakoo Msimbazi na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery. Contact 0714417739 /0763251378
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Kama kichwa kinavoeleza, Nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba, Rwagasore soko kuu nje upande wa Tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
HI THERE! Kama utakuwa unahitaji kutumia internet bure kabisa kwenye SIMU AU PC(COMPUTER) Hii ni huduma ninayo kupa kwenye simu yako au computer ambapo utakuwa na uwezo wa kuingia internet bila...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Natafuta Frem ya biashara Eneo la (1)Mwenge kwa kuuzia bidhaa mchanganyiko za matumizi ya nyumbani(bidhaa za vyakula).Liwe ule mtaa ambao uko busy"kuanzia ilipo AZANIA BANK KUJA HADI ILIPOKUWA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, kama title inavyosema na chini ni description za hiyo gari. Make / Model :Nissan / X-Trail Model Number :JN1TANT Year :2003 Grade :Good...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Plot ipo salasala kinzudi ina ukubwa wa 40 kwa 30 Bei 16.5m Bei inamaongezi kidogo Mawasiliano na kuja kuona 0756060183
0 Reactions
10 Replies
972 Views
Ninahitaji Fridge, ndogo ya milango miwili kwa ajili ya matumizi binafsi ya nyumbani kama kuhifazia chakula na vinywaji pesa niliyonayo ni 200,000/= Naomba mwenye kujua bei halisi anijuze..
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Ni muhudumu wa afya (M.A), Anatafuta mtu anayefanya kazi serikalini(idara ya afya) ili kuweza kubadilishana kituo cha kazi. Anafanya kazi huko mkoa wa Mtwara,na anatafuta anayefanya kazi mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Shamba lenye uzio (block fenced) la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped with water drinkers) kuku wanaoweza kufikia elfu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello guys.. Mm ni mfanya biashara ya mahindi kutoka Tanzania Nina Tani 10. Yaan gunia 1000 nilikuwa naomba kujua bei hapo Kenya, Rwanda na Uganda?? Kwa yeyote anaye tokea maeneo hayo naomba...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jipatie senene watamu wenye virutubisho (viungo) vya kutosha kwa wakazi wa Dar es salaam Tunapatikana mikocheni B, mabibo na mbagala kiburugwa pia kwa mikoani tunatuma Bei ni 7000/= unaletewa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…