PATA VIFURUSHI VYA VODA KWA BEI NAFUU
WIKI
1)DAK 500 KWA 4000
2)GB 4 KWA 5000
3) DAK 70 MITANDAO YOTE KWA 4000
MWEZI
1) DAK 2000 KWA 16000
2) GB 16 KWA 22000
3) DAK 900 MITANDAO YOTE KWA 16000...
Wakuu, poleni na majukumu.
Kwa anayehitaji nyumba ya kupanga, maeneo ya Ngulelo kituo cha dala dala, nyumba ipo hatua 15 to 20 kutoka kituo cha dala dala Ngulelo, bara bara kuu ya Arusha to...
Luxury Quartz Male Wrist Casual Leather Band Watch
Brand: Miler
Condition: New
Band Material Type: Leather
Case Material: Stainless Steel
watch color: black & brown
Price: 40,000 ( Haipungui )...
Jipatie handbags nzur kwa bei ya 45000Tsh napatikana Mtoni kijichi Dar Es Salam,free delivery kwa wateja wa dar tu,mikoan tunatuma kwa gharama ya mteja.
Call 0784427363
WhatsApp 0718096900...
Habarini wakuu,
Ninawajulisha kuwa kuna office space ya kushare kwa ambaye atapenda kushare sehemu kwa kufanyia shughuli zake za kiofisi. Ofisi zipo Mavuno Building, Posta mpya. Kwa anaye hitaji...
Naanzisha biashara ya kukodisha magauni ya harusi kwa bei rahisi dar. Yoyote mwenye gauni/magauni ya harusi ambayo anataka kuuza au kukodisha naomba tuwasiliane ili tufanye biashara.
075658969u
Wandugu habarini,
ni hivi kuna biashara soon naianza na nina uhakika nayo kuwa itakiki, ni ya kusambaza bidhaa hapa jijini Arusha, sasa katika kusambaza inahitaji gari...nimepiga hesabu gari ya...
Habari zenu wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji korosho zilizobanguliwa tani moja, hata zikiwa mchanagnyiko wa rangi yaani nyeupe na kahawia sawa ziwe gredi one kwani nitasafirisha nje ya...
Ndg wadau, kama kawaida yangu mzee wa kuyapamba makazi yako, nakuletea rangi ya Veneziano stuco, yenye mng'ao wa kushangaza na ajabu. Material hii imebuniwa na kutengenezwa kwenye mji wa Venice...
Husika na kichwa juu kama kuna mpangaji anaejua kuna chumba maeneo ya mabibo naomba nipm kuna mpangishaji mwenye chumba nahitaji mimi chumba kimoja tu nataka,tuwasiliane kwa 0765008131 asanteni sana
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
Kichwa cha thread hapo Juu chahusika.
Zipo zaidi ya ekari 50.
150,000/= @ Ekari moja
For serious Customers, tuwasiliane.
Mkoa: Lindi
Wilaya:Nanchingwea
Mahali lilipo: Kikiji cha " Farm 17/ Farm...