Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza feni aina ya evernal kwa bei poa ya 35,000 to, nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kupitia namb hii >> 0766166483
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nauza home theater Aina ya Panasonic ina watt 1000, Bei 400,000 Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau wa biashara za china, naona PM na maswali juu ya china yamekuwa mengi. Kutokana na majukumu ya kazi zangu, siwezitoa details zote kwa kila mtu. Nakaribisha wote mpate consulting service...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo kigoma...0782332176...sabuni carton moja ina miche 20 na inauzwa sh 24000...nipo kigoma. ..njia ya Dar na Mwanza natuma Kwa Gari za mizigo kwa gharama nafuu ya mteja..karibuni sana...uaminifu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ninauza kiwanja kipo manispaa ya morogoro kata ya lukobe kimepimwa na kina ofa ukubwa wake ni 30 kwa 40, bei ni 3,800,000 kwa mawasiliano piga 0762282526
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je, wewe ni mwandishi wa habari?? Umesomea tasnia hiyo?...na hata kama hujasomea lakini unao UWEZO wa kuandika habari 2 kwa siku, Yes, habari 2 kwa siku ktk sekta mbalimbali kama vile habari za...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Natafuta komputer ya mtoto wa darasa la kwanza (miaka 5). Wataalam wamenielewa. Na wataniongeza ujuzi wa programmmes za kuweka kumpanua ubongo mtoto.
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Habarini wakuu?? Nahitaji midoli ya kike mitatu kwa ajili ya duka la nguo.Iwe mizima juu na chini kwa ajili ya Gauni, sketi, jeans au blauzi. Kwa mwenye nayo anicheki PM tupeane contact..
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wadau Karibuni kwa huduma zote kama bango linavyojieleza hapo chini
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Wakuu poleni na majukumu, Nauza gari aina ya Toyota Ist Chassis number Unregistered Never used in Tanzania Model/Year 2002 Mileage 67,000km Engine capacity 1290cc Tshs 9.5milion (fixed) Call 0787...
4 Reactions
41 Replies
17K Views
- If you needs Electric fence installation for your House, Hotel, Workshop and Store, please feel free to contact us. __________________________________________________________________ ...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
- If you needs Electric fence installation for your House, Hotel, Workshop and Store, please feel free to contact us. __________________________________________________________________ ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupo buguruni chama tunauza bati za rangi kwa bei ya viwandani na treated timber.bati zinatoka kampuni zifuatazo, alaf,dragon,wolong,afrin,tifo and snow leopard...karibu or call 0713283760
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Ndugu mpendwa husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu Eneo la ziwani hekari 20 linauzwa Mwanza Nyanguge uelekeao ni Barabara ya kwenda Musoma ni km 30 kutoka Mwanza mjini hadi site. SIFA ZA...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Salaam, Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali) Bei ni laki 4.5 kwa mwezi. Maelewano yapo. Nyumba ni kubwa...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Pagare lipo eneo la Kinondo B , wilaya ya kinondoni. lipo kwenye kiwanja che ukubwa wa miguu 70 x 30. pagare lina vyumba 3 vya kulala , sebule , jiko na choo. lipo upande wa kushoto kama unaenda...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
habari wakuu kiwanja kinauzwa Bonite moshi Kilimanjaro 20 kwa 20 bei ni shilingi million 8 tu taratibu zote za kisheria na kiserikali katika mauzo zitafuatwa tafadahali ni PM kwa maelezo ya...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Nauza Maziwa fresh 1600 kwa Lita. Delivery service ni bure ukichukua kuanzia Lita 5 Kuanzia Lita 4 kushuka chini usafiri utalipia wewe nakuletea popote pale ndani ya dar. Napokea oda za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
0 Reactions
0 Replies
716 Views
nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…